UTALII WA MIKUTANO ARUSHA: Chachu Mpya ya Ukuaji wa Uchumi wa Jamii

UTALII WA MIKUTANO ARUSHA: Chachu Mpya ya Ukuaji wa Uchumi wa Jamii

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi uliofanyika AICC Mwezi uliopita sambamba na Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea Jijini Arusha.

Tukio hili la kihistoria linanufaisha moja kwa moja sekta za malazi, usafirishaji, na wajasiriamali wa sanaa, huku likiondoa changamoto ya utalii wa msimu kwa kugeuza wajumbe hao kuwa watalii wa hifadhi za jirani kama Serengeti na Ngorongoro.
IMG-20261004-WA0009.jpg
 
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi uliofanyika AICC Mwezi uliopita sambamba na Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea Jijini Arusha.

Tukio hili la kihistoria linanufaisha moja kwa moja sekta za malazi, usafirishaji, na wajasiriamali wa sanaa, huku likiondoa changamoto ya utalii wa msimu kwa kugeuza wajumbe hao kuwa watalii wa hifadhi za jirani kama Serengeti na Ngorongoro.View attachment 3683681
OF MICE AND MEN. Jiji la kula posho za safari.
 
Uandishin huu ni a Kili zavijana wa Lumumba, huoni Ubuntu wote akili zenu sijui zipoje
 
Back
Top Bottom