Polisi waruhusu Mikutano ya hadhara.. Je, wamemgeuka Katambi?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.

Kumbuka kesi ipo Mahakamani. Je, kesi itaendelea au itafutiliwe mbali?

Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi? Ni wakati wa Katambi kujiuzulu au afutwe kazi

HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamulia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.

Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi?

HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamlia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.

Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa
CommonWealth
 
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.

Kumbuka kesi ipo Mahakamani. Je, kesi itaendelea au itafutiliwe mbali?

Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi? Ni wakati wa Katambi kujiuzulu au afutwe kazi

HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamlia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.

Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa
Yaani hao jamaa wanajiaibisha sana kwa kufanya mambo ya kukurupuka.

Unatangaza UGAIDI nchini halafu hapo hapo unataka watalii na pia unaandaa AFCON.

Ndiyo tatzo la jesh la polisi kujiingiza kwenye siasa.
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.

..kikao kijacho cha CMAG kitafanyika mwezi Novemba mwaka huu.

..tutarajie majibu kama Jumuiya ya Madola imeridhishwa, au haijaridhishwa, na muitikio wa serikali ya Tanzania kuhusu maelekezo iliyotoa.
 
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.

Kumbuka kesi ipo Mahakamani. Je, kesi itaendelea au itafutiliwe mbali?

Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi? Ni wakati wa Katambi kujiuzulu au afutwe kazi

HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamlia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.

Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa
Kibano cha jumuiya ya madola na mkwara wake vinafanya kazi😂
 
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.

Kumbuka kesi ipo Mahakamani. Je, kesi itaendelea au itafutiliwe mbali?

Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi? Ni wakati wa Katambi kujiuzulu au afutwe kazi

HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamulia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.

Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa
Nchi ni kama maji ya mtoni yaliyokorogeka!
Hatari sana...

NB: Ugaidi upo Tanzania. Wawekezaji na Watalii wawe makini!
 
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.

Kumbuka kesi ipo Mahakamani. Je, kesi itaendelea au itafutiliwe mbali?

Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi? Ni wakati wa Katambi kujiuzulu au afutwe kazi

HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamulia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.

Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa
Inawezekana huo ni mtego ili wakakamate magaidi kwenye mikutano ya CHADEMA
 
Malalamiko yenye mashiko yamekuwa mengi na mengine kuvuka mipaka ya nchi.
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
Kuna lililotekelezwa au muda Bado?
 
Hili tangazo ni mwiba kwenye koo ...Samia Hana ujanja kwenye hili tangazo hapa ni mwendo wa mateka Tu ,bado tunataka LISSU aachiwe huru
 
Back
Top Bottom