Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.
Kumbuka kesi ipo Mahakamani. Je, kesi itaendelea au itafutiliwe mbali?
Aliyezuia Mikutano ya siasa ni Katambi, kwanini kuruhusu waongee Polisi? Je, Polisi ni Wasemaji wa Katambi? Ni wakati wa Katambi kujiuzulu au afutwe kazi
HITIMISHO
Tanzania ya Sasa kila mtu anajiamulia mambo yake. Mradi tu uwe kwenye Ofisi za Umma.
Tarehe 26 Juni 2026 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alimuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya Vyama vya Siasa