Hawa wahuni waliojipachika madarakani mnaonaje wanapofanya mikutano ya hadhara kumalizana nao hapohapo ili familia zao ziimbe palapanda?

Hawa wahuni waliojipachika madarakani mnaonaje wanapofanya mikutano ya hadhara kumalizana nao hapohapo ili familia zao ziimbe palapanda?

Tusifike huko
Ila huu uonevu unaofanywa na utawala huu utasababisha watu wafike huko ,hata HAMAS ilianza hivi hivi, unawaonea watu hadi inafika wanaona bora kufa kuliko kuishi kwenye mateso na manyanyaso, watawala wafikirie sana kilichotokea 29.10.2025 ile ilikuwa ishara kuwa watu wamefika kikomo cha uvumilivu. Hakuna anayeombea mambo hayo yatokee hata kidogo lakini kiburi cha wahafidhina wa CCM kitatufikisha huko.
 
Umeshauri vizuri sana.mimi nitaanza na yule mkubwa wao.Akienda tu kufungua ule mkutano kule Arusha lazima niruke naye
Sijaelewa, unamrushia hilo t*ko lako alitie vidolee au unamrushia alifanye nini'?!!!!

Mods, hivi hii mada inakidhi vigezo vyenu ee vya kuendelea kuwepo humu?!!!
 
Utamalizana na kwa jiwe la manati au kombeo?
Kasoro rais ila hawa wengine ni pumba kabisa lkn hili halitakaa liishe maana UVCCM nao watapambana na makombeo kwa chadema ko itakuwa ni chaos ni bora tu kuacha Mungu hakai na taka tak
 
Back
Top Bottom