CHADEMA kueni Makini Mikutano ijayo,wekezeni kwenye Ulinzi na Drone

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari.

Punde si punde wakairuhusu.

Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA.

Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA.

Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana.

Sure! Hukumu imetoka juzi wamehukumiwa kunyongwa
 
Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari.

Punde si punde wakairuhusu.

Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA.

Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA.

Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana.

Angalizo zuri sana..!
 
Umewaza kijasusi sana
 
Aisee kuna watu wamepewa uwezo mkubwa Sana WA kunusa hatari....mtoa mada upo Sahihi kabisaa
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Mimi nitakuwa kinyume kidogo na Wengi hapa.

1. Selikali inajisafisha kwenye mashart waliyopewa na jumuia ya Madola.

2. Selikali inajisafisha kujiandaa na michuano Afcon.

3. Ni ngumu tena kusikia, watu wamepewa Kesi za Ugaidi ,uhaini nk

4. Selikali inajisafisha Jumuia za Ulaya, Mabunge na taasisi za Kimataifa.

5. Nadhani hatutasikia kutekwa, bomu wala Jinai kubwa kubwa kwa sasa.

Think Big
 
Lazima waombe kibali TCRA na kule mamlaka ya Anga
 
Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari.

Punde si punde wakairuhusu.

Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA.

Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA.

Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana.

ni muhimu zaidi kuzingatia sheria za na sheria za kutumia hizo nonsense na itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom