Mwanza: Watu 23 wafikishwa kizimbani kwa kushiriki mikutano ya kigaidi

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi.

Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23), Damas Sadock(31), Petrol Mabula (40), Abdul Kagwidi (28), Devid Mahendeka (20), Philipo Masatu (31), Edward Mikindo (28) na Emmanuel Doto (26).

Wengine ni Deus Masalago (41), Mohamed Tosha (37), Fabian Nguvumali (52), Samwel Mtani (45), Samwel Kobell (40), Julius Makonga (34), Fanuel Lutana (35), Philipo Kulwa (37) , Philipo Shipuluko (50) na Hamis Mnyivua (35).

Washtakiwa hao wanadaiwa kutenda makosa hayo kati ya Julai 4, na Julai 7 mwaka huu, katika wilaya za Nyamagana na Ilemela mkoani humo.

Washtakiwa wamefikishwa mahakamani leo, Julai 23, 2026, chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi na kusomewa shtaka linalowakabili kwa nyakati tofauti na kwa makundi kulingana na maeneo wanakodaiwa kutenda makosa hayo, katika Kesi Namba 16375 ya mwaka 2026 na 16377 ya mwaka 2026.

Akisoma shtaka hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Mwanza, Mheshimiwa, Erick Marley, Kiongozi wa Jopo la Waendesha Mashtaka wa Serikali, likiongozwa na Joseph Maugo Wakili mkuu wa Serikali na mkuu wa mashtaka mkoa wa Mwanza, akisaidiana na Janess Kihwelo wakili wa serikali mwandamizi, Sileo Muzullah wakili wa serikali pamoja na Evance Kaiza wakili wa serikali, amesema shtaka linalowakabili washtakiwa 13 kutoka Wilaya ya Ilemela ni kutenda kosa la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi.

Washtakiwa wote hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka kisheria kusikiliza mashtaka yanayowakabili. Pia wamenyimwa dhamana kutokana na mashtaka yanayowakabili kutodhaminika.
 
Yes,
well done vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Ikithibitika pasina shaka yoyote mbele ya mahakama huru ya Tanzania,
watuhumiwa hao wote wachukiliwe hatua kali za kisheria bila huruma wala kuwaonea haya, ili iwe fundusho kwa magaidi wengine useless kama hao 🐒
 
Don't conclude nonsense arguments dude wachukuliwe hatua wewe kama nani kwa mfano,mahakama imewatia hatiani kwa hiyo case au ndio unakua mbugila bin Matosani kichwani nonsense?
 
zingatia maelezo yangu kwenye comment, na uchangie maoni yako huru jukwaani bila mihemko useless na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Cool gentlemen unajifanya smart kumbe nonsense tupu,wewe unakujaje na conclusion ya watu kufungwa na mahakama haijawatia hatiani kama sio na wewe una mihemko tena ya Kike kike kama bibi yako zero brain wa Kizimkazi?
Are you Judge useless nonsense???
 
Back
Top Bottom