Mwanza: Watu 23 wafikishwa kizimbani kwa kushiriki mikutano ya kigaidi

Mwanza: Watu 23 wafikishwa kizimbani kwa kushiriki mikutano ya kigaidi

Tanganyika tuna hamu zaidi na ugaidi.
Ngoja hiyo siku utendeke kiukweli ukweli ndo tutaelewa somo!
 
Cool gentlemen unajifanya smart kumbe nonsense tupu,wewe unakujaje na conclusion ya watu kufungwa na mahakama haijawatia hatiani kama sio na wewe una mihemko tena ya Kike kike kama bibi yako zero brain wa Kizimkazi?
Are you Judge useless nonsense???
Gentleman,
anaepaswa kuona ikiwa nipo smart ni wew na wadau wengine wa JF, but myself I have nothing to do with it ispokua kuchangia hoja mahususi mezani kwa heshima, neno kwa neno.

nasisitiza tu kwamba,
ikithibitika pasina shaka yoyote mbele ya mahakama huru ya Tanzania kwamba wangwana ni magaidi, basi nitazipongeza sana mahakama huru za Tanzania, ikiwa zitawachukulia hatua muafaka kali za kisheria magaidi wote useless watakaotiwa hatiani.

Pasiwepo na huruma wala haya katika kuwashughulikia watuhumiwa hao nonsense šŸ’
 
Back
Top Bottom