A
Anonymous
Guest
Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu.
Hatuna pa kusemea.
Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
Hatuna pa kusemea.
Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.