A
Anonymous
Guest
Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu.
Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya.
Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia kunakiuka malengo ya pesa hiyo, kwani ilipaswa ilipwe mara tu tuliporipoti kazini.
Pia soma ~ Ajira Mpya Urambo (Tabora) Idara ya Afya na Walimu hatujalipwa fedha za kujikimu