A
Anonymous
Guest
Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea.
Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi kuhusu sababu ya ucheleweshaji huo. Licha ya kufuatilia suala hili kwa viongozi husika mara kadhaa, hatujapata majibu ya kuridhisha kuhusu zilipo fedha hizo au lini zitalipwa.
Tunaomba mamlaka husika zilifuatilie jambo hili na kutoa ufafanuzi pamoja na kuhakikisha stahiki zetu zinalipwa kwa wakati.
Soma pia:

- Halmashauri ya Lushoto - Tanga : Posho za Kujikimu zimechelewa kwa Watumishi
- Watumishi wapya wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Sikonge hatujalipwa fedha za kujikimu
- Ajira Mpya Urambo (Tabora) Idara ya Afya na Walimu hatujalipwa fedha za kujikimu
- Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu
- Idara ya Kilimo Wilaya ya Bariadi hatujalipwa Fedha ya Kujikimu, tangu 2025
- Halmashauri ya Jiji la Arusha, Ajira Mpya Kada ya Elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu
- Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu
- Wilaya ya Momba Mkoa Songwe, ajira mpya hatujalipwa hela ya kujikimu
- Ajira mpya Hospitali ya KCMC hatujapata fedha za kujikimu