Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi
Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye shule zake hii naona itakua ibada na sadaka nzuri
Twende tukawatafute waliojeruhiwa na kua vilema tuwawezeshe Kila mtu kwa uhitaji wake hii itakua faraja kwao kuliko kuwaacha tu wakihangaika
Nadhani hii itakua nzuri kuliko kuwaombea waliofariki,