Kwanini watu wajinga wàjinga hutumia Fedha na Mali zao kujibu Hoja zinazoelekezwa dhidi yao?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake.

Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara .

Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo

Ama aandike au arekodi video mitandaoni, Akionyesha Picha au Video akiwa na Maburungutu ya Fedha ,Au Magari, Au Majumba.

Kuna wakati mjinga huyu anaweza hata kutamkwa maneno 'Tafuteni Hela'.

Angalieni hata Machawa wa CCM walivyo wajinga.....

Hamna Chawa hata mmoja ndani ya JF aliyewahi kuandika Uzi wenye Mantiki ama kuwasemea Wananchi juu ya jambo Fulani au kuishauri CCM na Serikali yake Haramu .

Nyuzi za Hawa Machawa wajinga nyingi husema

"Rais Samia ana Moyo wa Utu".

"Abdul Mtoto wa Rais ana roho njema na utu"

"Kikwete ataishi Karne , agawa Pesa kwenye sherehe'

Kwa hakika ,Utajiri wa Masikioni ni Ujinga wake .
 
Hii jf usiiendekeze sana.hao unaowaita wajinga huenda wamekuzidi kilakitu hadi akili.

Mtu akiwa juu yako sio mjinga hata kidogo kama unaona kafika alipo kwa upendeleo na wewe tafuta wakukupendelea uone kama utampata.
fanya vitu kwaakili sio kwaushabiki
 
Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake.

Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara .

Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo

Ama aandike au arekodi video mitandaoni, Akionyesha Picha au Video akiwa na Maburungutu ya Fedha ,Au Magari, Au Majumba.

Kuna wakati mjinga huyu anaweza hata kutamkwa maneno 'Tafuteni Hela'.

Angalieni hata Machawa wa CCM walivyo wajinga.....

Hamna Chawa hata mmoja ndani ya JF aliyewahi kuandika Uzi wenye Mantiki ama kuwasemea Wananchi juu ya jambo Fulani au kuishauri CCM na Serikali yake Haramu .

Nyuzi za Hawa Machawa wajinga nyingi husema

"Rais Samia ana Moyo wa Utu".

"Abdul Mtoto wa Rais ana roho njema na utu"

"Kikwete ataishi Karne , agawa Pesa kwenye sherehe'

Kwa hakika ,Utajiri wa Masikioni ni Ujinga wake .
Kwahiyo kwako wewe huu uzi ulioleta una mambo ya kuwasemea Watanzania? Pumbavu!!
Tafuta hela!!
 
Back
Top Bottom