Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua brand kubwa hazifanani na wanazotumia watalii, kwetu zimejaa Used na Refurbished. na hata wale wanaochana mabox wakidhani ni mpya Brand New, huwa ni simu used au refurbished zimewekwa kwenye mabox feki.
simu zenye brand kubwa zisizo za Kichina kama iPhone, Samsung Pixel na Sony, ni Samsung peke yao wenye duka rasmi (official store) nchini. Mitandao ya simu kama voda, tigo, airtel, n.k. wanauza simu mpya lakini wanazipiga kufuli (network lock)
baadhi ya maduka yanayojibrand kununua simu mpya ulaya ila wanaoingia tamaa kuuza used na wengine kubadili spea za simu mpya.
huwa wanafika watalii wenye Google Pixel na iPhone zao. aliniambia picha wanazopiga kwa simu hizo zina quality ya ajabu! 🔥📸 kuanzia Details, sharpness, dynamic range na rangi za picha vinaonekana vizuri sana.
Wiki iliyopita nilikuwa Arusha nilikutana naye na nikapata nafasi ya kujionea baadhi ya picha ambazo watalii wanamtumia kupitia email.
Aisee! Nilipoziona hizo picha, zilikuwa za moto sana, nilibaki na maswali mengi. 😳📸
Kwa bahati mbaya, siwezi kuzishare hizo picha hapa kwa sababu ya privacy ya watu husika. 🙏🏽
Halafu hata ziwe simu used hazijafanyiwa marekebisho, simu used maana yake imeshatumika hata kwa miaka kadhaa. Sensor ya kamera huwa inachoka kadri muda unavyoenda, hasa ikikaa kwenye jua kali au ikitumika sana kurekodi video. Simu original ya mtalii inayotoka duka la Apple au Google inakuwa na sensor mpya kabisa yenye uwezo wa 100% kunasa kila undani wa picha.
Hata hivyo, sisemi kwamba kila simu tunayonunua huku ni refurbished, wala kwamba simu za used haziwezi kutoa picha nzuri. Ubora wa picha unategemea mambo mengi, ikiwemo sensor, lensi, software na hali halisi ya kifaa.
Lakini experience hii imenifanya niamini kwamba tunahitaji kuwa makini zaidi tunaponunua simu, hasa tunapoambiwa ni Brand New.