tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa unalipa sana , shida uongozi unapobadilika huishi maisha ya kutengwa na aibu mfano wale machawa wa Magufuli wako wapi?

    Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote. Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa. Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
  2. Kusena

    JamiiForums Tanzania Ni tabia sio uhalisia wa usahihi

    Pole sana SweetyCandy Sijui kilichokukuta na pole kwa maumivu. Naomba tuwe wa haki kidogo. Kuna wababa wanaoyumba, ni kweli, na kila mtu ana mfano wa mmoja. Lakini kuchukua mfano wa watu wachache kisha kusema "wababa wote kazi yao ni kupiga watoto na kukimbilia michepuko" si ukweli wa...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama roll model wa Tanzania ni Zuchu na Diamond acha watoto wawe na Tabia hizi za Kishenzi

    Tanzania tunajumbatia vitu vya kipumbavu sana matokeo yake ndo haya sana. 1. Roll model ni wasanii hadi.wanaalikwa kuwa wageni rasmi kwenye graduations. 2. Mpira wa Simba na Yanga ndiyo kipaumbele cha wanasiasa kuwapumbaza watu ujinga.mtu. 3..Wanasiasa wenyewe hawasomwshi watoto wao katika...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio tabia za wabongo karibu kila Mtanzania anazo

    1. Kujifanya unajua kila kitu: Hata ukiulizwa kuhusu fizikia ya anga za mbali au teknolojia ya kurusha roketi, Mbongo atakupa maelezo kwa kujiamini kabisa kana kwamba alisoma naye! 2. Kuambiwa kitu usichokijua na kuamua kutunga uongo: Badala ya kusema "Sijui" au "Sifahamu", atatunga uongo wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

    Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake. Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati...
  6. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani unayo ambayo Mama yako haifahamu?

    Kila mama anadhani anamjua mwanae asilimia 100, lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana tabia yake ya siri ambayo mama yake hajawahi kuijua. Sasa tuambie ni tabia gani yako ambayo mama yako haifahamu?
  7. D

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao

    Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao, hasa wakati wanafunzi hao bado wanaendelea na mchakato wa kufanya uchaguzi wa vyuo mbalimbali kupitia mfumo wa TCU. Kitendo hiki kinawanyima wanafunzi uhuru wa kuchagua vyuo...
  8. IIT MWASISI OS

    JamiiForums Tanzania Fumbo la Imani, DNA ya Kiungu, na ndoto ya dunia moja mababu wa Yesu na tabia zao

    FUMBO LA IMANI, DNA YA KIUNGU, NA NDOTO YA DUNIA MOJA Uchambuzi wa Kifalsafa Juu ya Paradox za Kidini na Usalama wa Ubinadamu UTANGULIZI: Mshtuko wa Kihistoria Unapoingia ndani kabisa ya uchunguzi wa maandiko ya kale, unakutana na jambo la kushangaza sana linaloshtua akili ya kawaida. Wakati...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu?

    Wakuu nilikua natafakari jambo hapa, hivi umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu? 🤔🔥 Kuna wanaosema mapenzi ya kweli huonekana wakati wa shida, lakini wengine huamini changamoto za pesa zinaweza kuua hata mahusiano yaliyokuwa na upendo wa dhati. Mtu akiwa hana kitu...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Tabia 5 ambazo ukiziendekeza basi fahamu kwamba kufa mapema au kwenda jela kwako ni jambo lisiloepukika.

    1. Tamaa ya Mali na Fedha 2. Kiburi na Ujuaji 3. Wizi na Utapeli 4. Dhambi za Zinaa na Uzinzi 5. Hasira zisizo na mipaka
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

    Tumeona kwa mbowe na CHADEMA. Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali. Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz. Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
  13. Bikra unayo

    JamiiForums Tanzania Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  14. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kujenga tabia mpya

    Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku...... Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni ngumu sana kujenga tabia njema. Ni rahisi sana kujenga tabia ya ulevi lakini ni ngumu sana kujenga...
  15. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania Njia za kumjengea mtoto wako tabia mpya

    Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya..... Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa observational learning (kujifunza kwa kuangalia). Hii ni mbinu ambayo mzazi yoyote anaweza...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wewe mlinzi wa hapo hospitali ya mbarali ukome na hio tabia ya kuchungulia wakina mama wakiwa leba

    secretarybird acha kabisa 😁
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu alipoteza kitabu chake cha kiongozi cha mwalimu, tuliwekwa juani na kuchapwa kumbe kakisahau kwa mtoto wake

    kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano. Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
  20. Surya

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Mungu, hapendi nini ?

    Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu, Nakushauri nawe pia ukipata nafasi Tafuta Muda usome kitabu cha Mwanzo katika biblia kimeeleza tangu...
Back
Top Bottom