Ni tabia gani unayo ambayo Mama yako haifahamu?

Ni tabia gani unayo ambayo Mama yako haifahamu?

Tabia hio ni ipi?

  • Wewe ni Mtu wa totozi

    Votes: 0 0.0%
  • Mlevi

    Votes: 0 0.0%
  • Mjivuni Muongo muongo

    Votes: 0 0.0%
  • Hata wewe hujuwi

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1
Kila mama anadhani anamjua mwanae asilimia 100, lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana tabia yake ya siri ambayo mama yake hajawahi kuijua. Sasa tuambie ni tabia gani yako ambayo mama yako haifahamu?
469352.jpg



Kapige master kijana ulale
 
Back
Top Bottom