tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. blogger

    Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  2. Damaso

    Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  3. Jack Daniel

    Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  4. Alvin_255

    Aina za watu na tabia zao kanisani

    Kanisa Lina Aina ya watu ambao hawako katika MISHENI Sawa. Kuna Baadhi ya wahusika uwepo wao Kanisani ni kukamilisha ajenda zao ZINGINE... Katika Historia ya Makanisa Maandiko Matakatifu (Ufunuo 3:14-15) yanaeleza kuwa tupo Kanisa la mwisho ambalo ni Kanisa la Laodakia na tabia za Kanisa la...
  5. Jobless_Billionaire

    Hivi tabia ya Watanzania kuwa wajuaji na kuelezea kitu ambacho hawakielewi maana yake tena comfortable kabisa inatokana na nini?

    Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa...
  6. Lighton

    Tabia ya kuombaomba pesa

    Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano. Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia...
  7. Yoda

    Mateso ya wanawake chini ya kanisa kupitia Magdalene Laundries, vituo vya mateso vya kanisa kurekebisha wanawake tabia huko Ulaya

    Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao. Wanawake wengi...
  8. Mwachiluwi

    Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

    Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
  9. Pang Fung Mi

    Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

    1. Wapare 2. Wakinga 3. Waha 4. Wagogo 5. Wachagga 6. Wakurya 7. Wajita 8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani Naomba kuwasilisha Pang Fung Mi
  10. Poppy Hatonn

    Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

    Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa. Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja). Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London. Ikapimwa...
  11. Manyanza

    Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

    Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana -Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake -Hawezi kudumu na Mwanamke,kwa maana anakuwa anapenda sana ulevi kupindukia, uvutaji bangi,kutumia fedha nyingi sana bila...
  12. Maleven

    Inafika wakati unawaza, huenda ndio maana Mungu alimnyima kitu fulani au alimpa mtihani fulani kutokana na tabia zake

    Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu. Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu. Unaweza muona mtu anaumwa sana, let's say mguu au kitu chochote, ila ukija kusikia chanzo au historia yake unaina kumbe ni...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Usianike life style yako mtandaoni, binadamu hana tabia ya kusahau, binadamu hasamehi

    Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare. Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu. Kuna siku utahitaji kazi...
  14. MamaSamia2025

    Kama ukijaliwa usiingie 2025 na hizi tabia

    Ninamshukuru Mungu kufika tarehe ya leo. Nimeona nitumie huu muda kujikumbusha kwa faida ya wote tabia mbalimbali mbaya tunazopaswa kutoingia nazo 2025 endapo tutajaliwa. 1. Unayesumbuliwa na marejesho ya mkopo kisa ulikopa bila kuwa na mpango imara wa huo mkopo tafadhali mwaka 2025 epuka...
  15. Mr Why

    Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

    Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha Labda nianze kwa kujielezea kiasi, mimi ni baba wa watoto wawili wa kwanza ana miaka mitano wa pili miaka miwili...
  16. kwisha

    Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

    Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda...
  17. Balqior

    Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

    Habarini, Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike. Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe)...
  18. Dalton elijah

    Tabia Zinazoleta Umasikini Kwenye Maisha

    Mambo yanayo zuia mafanikio kwenye maisha Tanzania ni mengi sana na ukiwachunguza sana watu waliofanikiwa utagundua kuwa kuna tabia au mambo kadhaa yanayoshabihiana kati yao. Pia ukiwachunguza watu walioshindwa au ambao hawajafanikiwa, utabaini pia kuna tabia au mambo kadhaa yanayofanana kati...
  19. Mr Why

    Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  20. M

    Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

    Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo? Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
Back
Top Bottom