tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Makirita Amani

    Umasikini ni laana kubwa, tuungane kuutokomeza

    Rafiki yangu mpendwa, Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...
  2. H

    Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  3. D

    Kwanini tabia za maisha ya kawaida ya viongozi wa Kitanzania wakiachia madaraka hubadilika?

    Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu! Mfano; Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
  4. BigTall

    Tabia za Watoto kufanyiana ukatili inakua, Watanzania wenzangu tuamke, nani wa kulaumiwa hapa

    Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao. Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
  5. chiembe

    Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  6. T

    Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

    Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa? Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje. Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
  9. Fohadi

    Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

    Heshima kwenu Wakuu! Hakuna tabia inakera Kama mtu kulalamika, sasa unalalamika nini, yaani upuuzi tuu! Kulalamika ni tabia walizonazo wazembe na malofa, kila kitu kulalamika, kila kitu kunung'unika, upuuzi mtupu! Oooh! Wanasiasa wanapiga Sana hela, Kwa nini nawe usijiingize Huko kwenye siasa...
Back
Top Bottom