tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurunzi

    Soma Hiki Kisa Halafu tutafakari "Tabia za Mume Wangu Zilinichosha"

    Hii Story nimeipata mahali Baada ya kusoma mpaka Mwisho Kuna kitu nimejifunza Kwa Hawa Mapaster au wachungaji....soma tudiscuss Kwa Kina PART 1 TABIA ZA MUME WANGU ZILINICHOSHA ANAANZA KUSIMULIA.... Kabla ya kufunga ndoa na Mume wangu tumekuwa na mahusiano ya uchumba yakupelekeshana sana...
  2. Allen Kilewella

    Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  3. Tuagize

    Tabia za wanawake wa kinyamwezi

    Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi. • Wavumilivu sana kwenye maisha
  4. Trainee

    Tigo na Vodacom achaneni na tabia hizi or otherwise mtoe posho kwa wateja wenu

    Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
  5. Mshana Jr

    Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

    Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho.. Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema.. Fulani bwana pesa imemkubali.. Ama Fulani bwana pesa imemkataa! Licha ya pesa kuitana na kualikana...
  6. ngara23

    Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

    Hili jambo Huwa linanishangaza Sijui Huwa ni pepo au vipi Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya...
  7. AmKATRINA

    Wanaume, tabia ya kung'ang'ania kukaa kwa mwanamke aliejenga itaisha lini?

    Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia. Nimechukia sana. Hatujawahi kudate, ila kwa...
  8. Waufukweni

    Waziri Tabia Mwita: Walioshiriki Samia Fashion Festival 2024 wawezeshwe kulinda vipaji vyao

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewaagiza Viongozi wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kuhakikisha Wanawawezesha Vijana walioshiriki katika Tamasha la Samia Fashion Fastival 2024 ili kulinda na kuendeleza vipaji vyao. Ameyaswma hayo katika...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Mwarobaini wa kukomesha tabia ya uzinzi kabla ya ndoa huu hapa

    Habari! Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao. Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo...
  10. Etugrul Bey

    Achana na hizi Tabia mara moja

    Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani huwezi kuwafikiria watu katika mlengo mzuri,wewe hufikiria mabaya tu binadamu wenzako,hayo sio maisha...
  11. Rorscharch

    Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  12. Nanren

    Yuko wapi mwanamziki Tabia Mwanjelwa?

    Kwa wakongwe, mnamkumbuka huyu dada enzi akikipiga na Marquiz du Zaire? Yuko wapi kwa sasa?
  13. RIGHT MARKER

    Hebu tiririka tabia mbaya za baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi

    📖Mhadhara (64)✍️ Kuna baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi wana tabia mbaya zinazowakera wenzao (watu wengine). Hebu tiririka tabia mbaya mojawapo - Natiririsha baadhi ya tabia mbaya. 🔘 TABIA MBAYA 1: Kuna mfanyakazi ambaye kila kiongozi au bosi mpya atakayeripoti, ni lazima akajipendekeze kwa...
  14. N

    Hivi kwanini wanaume wana tabia hii?

    Katika maisha ya kawaida binadam kusaidiana ni kitu cha kawaida. Haijalishi unamfahamu au humfahamu kama mtu anahitaji msaada msaidie tena bila kutegemea kitu chochote in return. Kuna hii tabia wanaume ukiwasaidia lazima baadae warudi wakutongoze. Sijui huwa wanawaza nini! Umesaidiwa toa...
  15. dgombusi

    Je Mafanikio ni Matokeo ya Tabia, Sio Kitendo Kimoja?

    Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli ni kwamba mafanikio ni matokeo ya tabia zetu za kila siku. Kama vile Aristotle alivyosema, “Sisi ni...
  16. dgombusi

    Mafanikio ni Matokeo ya Tabia, Sio Kitendo Kimoja

    Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli ni kwamba mafanikio ni matokeo ya tabia zetu za kila siku. Kama vile Aristotle alivyosema, “Sisi...
  17. B

    Vyama Tawala, Tabia za kupeana vyeo na Scandal ya Equatorial Guinea

    Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika. Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala bora, maendeleo ya viwanda na hali nzuri ikiwemo ustawi wa wananchi. Kama ilivyo kwa vyama vyote...
  18. Yoda

    Tanzania hatuna tabia ya kujichukia, tuache upotoshaji, bado tuko nyuma sana ukilinganisha na uwezo wetu(potential)

    Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa sasa kwamba tuko vizuri ndio imenichekesha anazungumzia SGR, movie ya Idriss Sultan huko Netflix...
  19. Allen Kilewella

    Kwa tabia hizi alizoonesha Aziz Ki kweli yeye bado ni mchezaji Professional?

    Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida. Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za kuitwa mchezaji Profesheno. Kwenye hii Clip ya kwanza inaonekana Ki anaongea na kocha msaidizi wa...
  20. Melki Wamatukio

    Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
Back
Top Bottom