Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile.
2: Wazee wa connection
3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu mwingine regardless na uovu wake.
4: Mazaga zaga
2: Wazee wa connection
3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu mwingine regardless na uovu wake.
4: Mazaga zaga