ukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini ni ngumu au almost impossible kujinasua katika ukata na ukapuku.

    Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed. Ni ngumu kujitoa katika ufukara na madeni ya mitaani kama ulilazimika kimataduni au kulazimishwa na wazazi kupata...
  3. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anaanza kusifia sana maparachichi na namna gani ni matamu ukila na ugali, ujue tayari ukata umeanza kumnyemelea

    Ukiona mtu anaanza kusifia sana maparachichi na namna gani ni matamu ukila na ugali, ujue tayari ukata umeanza kumnyemelea Nakutakia mapambano mema Umasikini ni fedheha Chamsingi ogopa kumwaga damu ya mtu na kutoa MAKEBO yako, tofauti na hapo itafute pesa hadi ikuheshimu.
Back
Top Bottom