Hii ndio sababu kwanini ni ngumu au almost impossible kujinasua katika ukata na ukapuku.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed.

Ni ngumu kujitoa katika ufukara na madeni ya mitaani kama ulilazimika kimataduni au kulazimishwa na wazazi kupata watoto ambao ni wategemezi wako huku kipato chako kinaruhusu mtu mmoja.

Na haya ndio maisha ya watanzania wengi mnooooo!, watu wamekuwa trapped katika system inayo kuforce utumike vikali kwa ajili ya rasilimali chache ambazo zimekuwa rationed kwa hio ili kukidhi maisha yake inabidi afanye wizi.

Sasa jiulize 90% ya waajiriwa wakifanya wizi ili kujikidhi, ni asilimia ngapi ya watu wengine mitaani waathirika kwa kukosa rasilimalo muhimu.

Kila motivation speaker anakuambia wewe ni mpumbavu ndio maana umefulia lakini anasahau yeye ni sehemu ya kula keki special
 
Yule waziri wa vijana wa "see you at the top"

Baada ya kuingia mjengoni na kuanza kula keki, Sasa hivi kimya.

Njaa mbaya sana.
Mjinga yule jamaa toka aingie pale mpak l3o hakuna cha maana hata kimoja. Hata idea moja productive hajatoa, juzi nmeona katoa wimbo anaimba "happy birthday to you"😂😂

Dah tuko mkuntun mwa dunia huku mbona tunaisoma
 
Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed.

Ni ngumu kujitoa katika ufukara na madeni ya mitaani kama ulilazimika kimataduni au kulazimishwa na wazazi kupata watoto ambao ni wategemezi wako huku kipato chako kinaruhusu mtu mmoja.

Na haya ndio maisha ya watanzania wengi mnooooo!, watu wamekuwa trapped katika system inayo kuforce utumike vikali kwa ajili ya rasilimali chache ambazo zimekuwa rationed kwa hio ili kukidhi maisha yake inabidi afanye wizi.

Sasa jiulize 90% ya waajiriwa wakifanya wizi ili kujikidhi, ni asilimia ngapi ya watu wengine mitaani waathirika kwa kukosa rasilimalo muhimu.

Kila motivation speaker anakuambia wewe ni mpumbavu ndio maana umefulia lakini anasahau yeye ni sehemu ya kula keki special
Na ndo muda wa motiveshen unaishilia now. Kila kitu chao kishazoeleka sas na miaka 2 ijayo hawana jipya tena. Walitambaga watu wali9kuwa wanaelezea freemasoni miaka ile. Leo hawapo!

Na huo mwisho wao sbab wanaelezea mambo ambyo at basic level hyana uhalisia
 
Kinachotuendesha ni mfumo na wala si PESA... mfumo umeundwa tuwe watumwa wa "mafanikio"..
Siku hizi kila mwenye nafasi ya kusikilizwa basi lazima akwambie jinsi ulivyo mjinga kwakuwa hauna gari au nyumba ya kisasa au husafiri kwenda hata China.
Siku hizi mtandaoni kila msemaji anajua dalili na ishara za umaskini na maskini..
Injili ya mitume nayo ipo kuonyesha umiliki wa gari ni upako, kupata kazi ya mshahara wa kitasa ni maendeleo akati umeacha mamilioni kwenye kilimo shambani kwenu Kilolo.....
Siku hizi kila mtu anaambiwa yeye chosen one,,,
Unaambiwa tafuta hela ili adui zako waumie, siyo ikusaidie..

human race is under fu.cking illusion....
 
je wanaolima huko kilolo wote ni mamilionea?
 
Mjinga yule jamaa toka aingie pale mpak l3o hakuna cha maana hata kimoja. Hata idea moja productive hajatoa, juzi nmeona katoa wimbo anaimba "happy birthday to you"😂😂

Dah tuko mkuntun mwa dunia huku mbona tunaisoma
Hakuna pahala kijana wa kitz atafanikiwa labda na yeye aopolewe katika mfumo wenye mzunguko mkubwa ambapo sio free kuingia na kutoka
 
Kinachotuendesha ni mfumo na wala si PESA... mfumo umeundwa tuwe watumwa wa "mafanikio"..
Siku hizi kila mwenye nafasi ya kusikilizwa basi lazima akwambie jinsi ulivyo mjinga kwakuwa hauna gari au nyumba ya kisasa au husafiri kwenda hata China.
Siku hizi mtandaoni kila msemaji anajua dalili na ishara za umaskini na maskini..
Injili ya mitume nayo ipo kuonyesha umiliki wa gari ni upako, kupata kazi ya mshahara wa kitasa ni maendeleo akati umeacha mamilioni kwenye kilimo shambani kwenu Kilolo.....
Siku hizi kila mtu anaambiwa yeye chosen one,,,
Unaambiwa tafuta hela ili adui zako waumie, siyo ikusaidie..

human race is under fu.cking illusion....
Hakika mkuu.

Free will ni adui kwa watu wa system

SYstem yao imekuwa designed kwa style ya kuwa mimi na wewe tukinuuuka kwa kasi wao inabidi waporomoke kwa hio hawawezi kulegeza kirahisi rahisi hivyo.

Mfano hivi unadhani wamiliki wa matanki ya mafuta, mahotel na mabasi ya mikoani ni ya walugha lugha kama mimi na wewe? 😁😁 wale huwa wanawekwa kama lebo tu.

Ukweli ni kuwa ukata ni mkubwa mno na mifumo inaziid kukufanya kuwa hivyo lasivyo uchukue mkopo kwenye benki zao hizo hizo
 
Umasikini ni mnyororo mrefu uliofunga Koo na vizazi vya watu, Nakuombea dua msomaji uwe shujaa wa kuvunja pingiri za mnyororo wa Umasikini.

Umasikini ni kama maradhi yaliyo enea kwenye Taifa fulani, nakuombea uwe Kiongozi mahiri ulitibu Taifa lako.
 
Hakuna pahala kijana wa kitz atafanikiwa labda na yeye aopolewe katika mfumo wenye mzunguko mkubwa ambapo sio free kuingia na kutoka
Ukisema mfumo unamaanisha nn mkuu? Mana neno mfumo niliwah kumuona nalo yule jamaa wa room of jeans lakin mpaka mahojiano yanaisha hakuwah kuutaja mfumo alioungelea unaitwaje.

Mfumo unaouzungumzia wew unaitwaje
 
Back
Top Bottom