Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
- Thread starter
- #21
š„š„š„Umasikini ni mnyororo mrefu uliofunga Koo na vizazi vya watu, Nakuombea dua msomaji uwe shujaa wa kuvunja pingiri za mnyororo wa Umasikini.
Umasikini ni kama maradhi yaliyo enea kwenye Taifa fulani, nakuombea uwe Kiongozi mahiri ulitibu Taifa lako.
Umasikini na ukata unakuwa normalised haswa pale kunakuwa na ssystem inayofaidika na ufukara wako au kuwa na jamii ambayo imekubali kuwa umasikini ni sehemu ya utamaduni wao ingawa akitoka tu nje anaona magari ya 100+ million yakipita na anasema hawa wamejaaaliwaaa.