Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, unakuta ndani mmegombana alafu gafla anaanza kusema "nipige nipige" huku ukiendelea ku-provoke au kuchochea hasira za mwanaume hili apate hasira zaidi, kisha ukimpiga anaanza kusema "Majirani ananiuaa, Majirani ananiuaaa"
Sasa ugomvi unauanzisha wewe, na unaendelea kuuchochea kwa matusi na vijembe na ukidai akupige, Mwanaume akianza kurudisha mashambulizi unamuitia wananzengo na kumgeuzia kesi, huku wewe ukionekana Victim.
Hii imekaaje kitaalamu ndugu wadau, kama uwezi mapigano kwa nini ulete kelele na kuendelea ku-provoke kwa matusi wakati unajua fika hasira zikipanda uwezi jua mwenzako atafanya nini.
Mkiomba kipigo basi jueni na namna ya kukipokea hicho kipigo, sio badae unaanza kuomba msaada kwa watu hili waone Mwanaume ni katili.