Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Sababu ni wanaume kuwapiga huwa wanavumilia huku wakisubiri kikozi kazi cha watoto kikuwe hapo ndio vita huanza rasmi mara nyingi hawa wazee wanaviziwa wakiwa tungisijajua bado sababu ya mwanaume kupigwa na mkewe 🤣🤣🤣🤣