Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
Wahenga Wenzangu wanaweza kukumbuka vizuri taarifa mbalimbali tulizokuwa tukizisikia kumuhusu Idd Amin Dada.Kuna baadhi ambazo nani nilifanikiwa kuzisikia kama vile kusomba Walemavu ombaomba wote pale Kampala na kwenda kuwamwaga ziwa Victoria ili jiji libaki safi,kuwepo kwa vichwa vya Watu...
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.
Pili wabapoishi huishi na...
1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa;
2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi;
3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara;
4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu;
5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu .
Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake .
Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka .
Ni swala la muda tu.
Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni,
Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha,
Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA??
Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.
Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje.
Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra!
Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako!
Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako...
Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia.
Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake.
Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.
Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.