Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa.
Sasa je, tungepima za Yesu...
Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu. Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...
Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu, Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...
Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa mada nyingine katika uwanda huu wa ‘uhuru wa fikra na kusema’ na namna zinavoweza kuleta mapinduzi...
Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu.
Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
CCM itapigwa na Mungu na hili halina mjadala ni suala la muda tu tumeona ni jinsi gani Mwenyezi Mungu amewatahadharisha CCM kuwa maisha ya hapa duniani kuishi kwingi ni bahati nasibu na unaweza kufia njiani wakati yale unayoyataka kuyafanya hayajatimia na pengine siku unamaliza kuyatimiza...
Wasaalaam
Katika dini hizi kuu (Abrahamic) hakuna pande yoyote inayokataa uwepo wa Mtoto wa Mariamu Yesu wa Nazareth , historia na hadithi za maisha za Yesu/Issa zipo katika upande wa Dini kuu mbili hizi Uislam na Ukristo.
Maelezo Juu ya Bwana huyu Katika pande hizo mbili yana kiwango chake...
SABAYA FOR CHANGE (S4C)
Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?"
UFAFANUZI WA KWANZA:
Well, Hatupambani na...
Wanabodi,
Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo.
Tumeshuhudia vuguvugu la kudai katiba mpya likianzishwa pale, na sasa ufunguzi wa ofisi ya chama...
Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi.
Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya
Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
Binafsi si shabiki wa madirisha yanayotamba siku hizi, aluminiamu na pvc. Sababu kubwa ni kutokuwa na uimara wa kutosha na pia hata yakifunguliwa yanachukua sehemu kubwa ya dirisha na hivyo kuzuia hewa.
Hii ni mbaya zaidi kwa mimi wa sehemu ya joto. Madirisha haya yakifungwa, huko ndani mtajuta...
TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi.
Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
Wakulungwa inakuwaje?
Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
DPP kuachia mabilioni ya fidia
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha Sunday George
Wakati baadhi ya wanasheria na wadau mbalimbali...
Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza...
Maneno ya Matusi
Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana.
Useseme maneno mabaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.