Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
Kijijini Mjesani, Muheza.
Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka.
Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama.
Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho.
Mwili bado upo shambani.
Polisi wakitaja ongezeko la uhalifu,wanatoa takwimu. Mpaka sasa polisi hawajafanya hivyo. Kwa vile zimetokea spectacular murders, watu wameingia wasiwasi.
Na huyu rais always anatafuta nafasi ya kuwaweka wanawake kwenye uongozi.
Kamanda Sirro anaweza kushughulikia haya matatizo. Watu kuuana...
Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi.
Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...
Habari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
Nina mrembo nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa kipindi fulani. Lakini wakati wakushiriki nae tendo huwa anasema "Nikikaa hivi inachoma choma bwana inachoma". Nikimuuliza unafurahia au unaumia hajibu, anasema we Fanya tu.
Hebu naomba mnisaidie hapo inakua Ina maumivu au Raha maana muda mwingine...
Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi,
mfumuko wa bei huu...
Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo.
Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu.
Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je...
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.
Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii itarushwa. Jiwe la Ndugai kwa Rais lilikuwa la kawaida tu lakini jiwe la mama kwa Ndugai ni kama...
Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi!
Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?!
Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?!
Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba.
Ukweli ni...
Bila shaka Ndungai alidhamiria kusema alichosema kwa kuisema serikali. Nnadhani Sasa SSH aanze kusuka watu watakaoliongoza Bunge muda si mrefu, au baada ya uchaguzi wa 2025, Tulia, kaa kwa tahadhari,jamaa wa kongwa ameshajua kiti hicho utakikalia, asije akakufanyia mambo yake aliyoyasema Humphrey
Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa.
Lakini tutakopa tena 1.3 trioni kwa ajili ya kujenga tena madarasa.
Ukweli ni kuwa tozo pekee...
Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka
minne iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe
amesema mtoto...
kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.
Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake.
Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
Kwa wengi, Chimamanda Ngozi Adichie alipata umaarufu wakati mazungumzo yake kwenye TED Talk, “We should all be feminists” iliposhirikishwa katika wimbo wa Beyoncé Flawless, lakini vitabu vyake vimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 30 duniani kote.
Mwandishi huyu maarufu wa Nigeria anazungumzia...
Ndugu zangu
Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini.
Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.