Kusema ukweli hii Buku 7 haitutoshi kwa maisha haya. Mtufikirie na sisi

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kuna wakati tunakatishwa tamaa na ninyi viongozi. Sisi tunajitahidi sana kumpambania mama. Tunaanzisha threads na IDs mpya kila mara ingawa tupo wachache tuonekane wengi.

Tsh 7,000 kwa siku haitoshi. Ukiacha wale wachache ambao wameajiriwa na viongozi binafsi kuwapambania wao wanapata mpaka tsh 10,000 sisi miaka inakatika mnatupa kiwango kile kile? Maisha yamepanda gharama.

Kumtetea tunajitahidi sana ingawa hateteeki. Lakini tunapambana tunakutana na wananchi wenye hasira kali humu wanatutupia matusi na lawama. Tunapambana. Halafu tunakuja pata ujira wa mwira? Wengi wanaogopa kusema na mi nimeamua niseme kupitia ID hii machachari. Maisha yetu ni magumu.

Kuna wenzetu wengi siku hizi wameamua kunyamaa. Wapo humu wanasema wamechoka kutumika. Wanaofaidika ni wengine wanaohangaika ni sisi. Vyeo vinatoka wanapata wengine sisi hatupati. Wenzetu wawili toka wameteuliwa na humu wamepotea kabisa hawajawahi post tena.

Sisi wengine tunajitahidi lakini jitihada zetu hazizai matunda. Zinapukutisha tu majani. Hii si sawa. Nasi tuna majukumu kuna maisha kuliko kuja shinda hapo Lumumba kwenye kiofisi kidogo na kwa sasa hata hili joto linatutesa. Maisha ya kutumwa kaninunulie sigara, kanipelekee pesa sijui wapi, kanibrashie viatu... Mimi umri huu sasa ni aibu

Mtukumbuke sisi intake ya 2020 kuja juu. Tumepambana sana. Sana katika kipindi kigumu sana katika nchi hii. Hakijawahi tokea. Tumetetea kila kitu bado mnataka tuishi maisha ya kutukanwa na kudharaulika? Nyie mna enjoy life. Sisi tunapiga kelele tu humu na kusalitiana kwa uchawa.

Yule mwenzetu aliyekuja sema kuwa kuna wasaliti wanatetea Tanganyika na mkamwamini na kuwakata wengine kwenye posho pasopo ushahidi mlikosea sana. Wallah hiyo si haki. Si haki hata kidogo. Dini inakataza. Muwe na imani hata kidogo.

Mimi naandika kuwasilisha maoni ya wenzangu ambao wao wanaogopa hata kukohoa. Sababu ya hali ngumu ya maisha wanaona wakikosa hata hizo buku 7 watateseka. Lakini wamekuwa wanyonge hata kujitetea hawawezi.

Mimi napasua jipu.

Kutoka Lumumba Kitengo Social Media.
 
downloadfile.png
 
Inatakiwa mfanywe matusi ndiyo mlipwe vizuri
 
Tsh 7,000 kwa siku haitoshi. Ukiacha wale wachache ambao wameajiriwa na viongozi binafsi kuwapambania wao wanapata mpaka tsh 10,000 sisi miaka inakatika mnatupa kiwango kile kile? Maisha yamepanda gharama.
Hii issue ni ya kweli au kunogesha stori tu
 
Back
Top Bottom