Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.
Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.
THIS IS NOT THE KIND OF LEADERSHIP AND LEADERS WE WANTED.
Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians