Raia Namba 1 hata kusema poleni Watanzania tuanze ukurasa mpya, hakuna!

Raia Namba 1 hata kusema poleni Watanzania tuanze ukurasa mpya, hakuna!

Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.

Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.

Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.

THIS IS NOT THE KIND OF LEADERSHIP AND LEADERS WE WANTED.

Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
The guilty are afraid...!!!
 
Nafsi inamsuta. Tangu awe mjane hata ule ubabe wa who are you umemuisha. Kifo kisikie kwa jirani.. Baada ya kufiwa na mumewe akagundua Urais hauokoi maisha
 
Kwa mara ya kwanza taifa lipo kwenye laana ya ajabu: kutawaliwa na wauaji, watu walio tayari kufanya uovu wote, mpaka kuua watu, ili tu wabakie madarakani kwa nguvu. Mungu wa huruma, kwa upendo wako mkuu, tunaomba uwaokoe watu wako kutoka kwenye mikono ya watawala wauaji.
 
Back
Top Bottom