Raia Namba 1 hata kusema poleni Watanzania tuanze ukurasa mpya, hakuna!

Viongozi wote wa Chadema wanapaswa washitakiwe kwa makosa ya kufanya uchochezi na kuwachuuzq vijana kufanya fujo na uharibifu na matokeo yake kupoteza maisha.
Chadema ina paswa ifutwe na msajili wa vyama mara moja. Huwezi kufanya maridhiano na majqmbanzi/wahuni/wahaini
 
Nani anayelilia maridhiano.
 
Nina imani washauri wake wengi wana akili kama zako, ndio maana nchi inaendelea kupata majanga.
Majanga ya nchi hii yapo ndani ya kichwa chako, lakini kama Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania HATUNA majanga. Nchi inakwenda vizuri tu na atakayetaka kumkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan ATAKWAMA yeye!
 
Ndio maana nilikua nashangaa watu kwenda kizimkazi, mtu asie na utu na unyeyekevu kwa wafiwa eti akapewe pole? Mhhh
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.

Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.

Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.

THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.

Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
 
Unalala unamuuta Samia.
Ukiamka unahangaika kujua Samia leo yuko wapi, anafanya nini, kasemaje, kavaaje... Uko busy na Samia kuliko ht familia yako...
 
Kashasema nguvu iliyotumika ni sawa. Hiyo ndiyo kauli yake.

Sasa unataka atoe pole wakati yeye ndiye kaagiza mauaji?
 
Nina imani washauri wake wengi wana akili kama zako, ndio maana nchi inaendelea kupata majanga.
So umeumia sana mwenyewe kwa nini hajatoa pole!
Ila tu nikupongeze kwa kutambua kuwa Samia ndiye Raia namba 1TZ
 
Mliambiwa msiandamane ,watu tulisema mpaka tumechoka ..Rudienj tena watoto wazuri ,mtapewa pipi.
 
Unalala unamuuta Samia.
Ukiamka unahangaika kujua Samia leo yuko wapi, anafanya nini, kasemaje, kavaaje... Uko busy na Samia kuliko ht familia yako...
Samia ni Rais wa nchi, kaomba kuchaguliwa mwenyewe.

Hivyo, watu wana haki kumfuatilia, kumsema, kumuwajibisha.

Hivyo ndivyo demokrasia zinavyofanya kazi.

Au hujui hili nalo?
 
Unalala unamuuta Samia.
Ukiamka unahangaika kujua Samia leo yuko wapi, anafanya nini, kasemaje, kavaaje... Uko busy na Samia kuliko ht familia yako...
Hana kazi ya kufanya ,kijana anaacha kufanya kazi anaona kama Lissu akiingia madarakani na yeye ataanza kupata pesa za bure.
 
Viongozi wote wa Chadema wanapaswa washitakiwe kwa makosa ya kufanya uchochezi na kuwachuuzq vijana kufanya fujo na uharibifu na matokeo yake kupoteza maisha.
Chadema ina paswa ifutwe na msajili wa vyama mara moja. Huwezi kufanya maridhiano na majqmbanzi/wahuni/wahaini

Vipi kuhusu aliyesema hakutakuwa na nywi nywi wala nywinywinywi? Na vipi kuhusu aliyetoa order ya shoot to kill??
 
40 zakukaa ndani kwa anayemhusu zimeshindikana sembuse ninyi

death is death
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.

Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.

Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.

THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.

Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
nyie mbona hamna shukurani kwa rais samia, alikuja na 4 r akaanza kuzifanyia kazi ghafla mkaanza kumtukana,

aliwaambia msiandamane mkakaidi, aliwaita mkae muongee mkawa mnamlazimisha hamuongei mpaka afanye mnayotaka,

akawaambia nguvu iliyotumika ni sawa kuwathibiti wahalifu, kupitia kanisa na chadema mnashindana nae hamtaki kumfata, hata majuzi kati hapa alikaa na vyama akasema mwenzetu mmoja bado anajitafakari, zaidi ya hapo mnataka afanye nn tena?

mnataka mange na maria waendelee kumtukana na kumuita kimama? kama mmeamua kutomfata endeleeni na mambo yenu na yeye aendelee na mambo yake kwani shida iko wapi? mfano jana si mmeafanya maombi chadema na kanisa kwann msiendelee na maombi yenu mnahangaika na samia? halau wewe unakuja kuandika hapa ujinga inamaana hujui kama chadema hawakwenda kumpa pole rais samia alivyofiwa na mumewe je huo ndio utz? wapi uliwakemea chadema walipofurahi magufuli alivyokufa? hayo maisha mliyochagua endeleeni nayo msidhani kuna mtu atahangaika na nyie, msiba wa ndugai chadema mlienda?

Lissu alisema anataka siasa za nginja nginja au ahmkumuelewa sasa mnaona mnavyopuuzwa ndio mnahangaika, wale watu wanaojaa kwa heche si mngewaandamanisha jana imekuwaje mmesusia? mshaambiana vaeni nguo nyeusi kwa siku 7 sasa mnataka nn? kwani kitima kuwapa pole haitoshi? basi mwambieni na heche awape pole au mnataka rais samia awape pole ikiwa aliwaambia msiandamane.

Kama mnaujua umuhimu wake kuweni na adabu na mkae nae, pia kama kweli mnamtaka matusi ya twaha, mange na maria kwann hamuyakemei sio nyie chadema wala kanisa maana yake mnayaunga mkono.
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.

Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.

Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.

THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.

Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
elimu zetu mbali mbali za PAKISTANI ndio zilizotufunza hivyo
 
Back
Top Bottom