Suzi Rafael
Member
- Sep 5, 2026
- 51
- 65
PART 1
SUB TITLE: Kiini macho (illusion) Cha Sanduku la Kura (Ballot Paper), Na Sababu Kwa Nini kupata Katiba Mpya na kubadili Sheria sio suluhisho la kudumu.
By Suzi Rafael,
Nchini Tanzania, Vyama vya Upinzani na wananchi wengi wamekuwa wakilalamikia na kupambana usiku na mchana kudai mambo yafuatayo Kwa kigezo Cha kuwa yatakuwa suluhu ya kudumu juu Matatizo mengi ya Watanzania Kwa ujumla;
1. KATIBA MPYA
2.TUME HURU YA UCHAGUZI
3. KERO ZA MUUNGANO NA HATMA YA MUUNGANO
Na mengineyo kama vile Kuachiwa Wafungwa wote wa kisiasa, kupatikana haki Kwa wote waliotekwa na Kurudiwa Kwa Uchaguzi wa Oct29, 2025.
Je madai haya ni halali? NDIYO KWA 💯 %
Madai haya Yana uzito mkubwa na ni halali kuulizwa na kuzungumzwa
Lakini je tushawahi kutuliza akili, kuvua ushabiki wa kisiasa na kujiuliza haya maswali 7 haya yafuatayo?
1 • Je, kwanini CCM inaendelea kutawala Hadi Sasa Toka Oct 29 bila ya kukumbwa na upinzani wa hali ya juu toka Kwa wananchi?
Kama Hali ni mbaya hivi, mbona Raia wengi wametulia ilhali sera ya Utekaji, Ukandamizaji, Ufisadi , Rushwa, Mauaji yasiyo ya kawaida, vitisho mbalimbali na Kunyamazishwa Kwa Wakosoaji wa Serikali zikiendelea ? Ukitaka kumshinda adui/ mtesi Yako, Usiangalie anafanya Nini, tazama na tafuta mbinu anazozitumia kukudhibiti na kujifanya akili Yako ikubali Ukandamizaji (oppression) na kusurrender.
2 • Je, Maandamano na Vita vya Maneno Mtandaoni Yaani Tweets War yanaweza kufanya kazi na kuleta mabadiliko Kwa nchi kama Tanzania?
Wanasiasa wanapenda Kuitisha maandamano lakini yamekuwa yalifeli, na kutoa maneno MAKALI mtandaoni Yaani Tweets War
Kihistoria, Kisiasa na Kijamii, Maandamano yamekuwa hayana ufanisi mkubwa Kwa Nchi kama Tanzania, Kwanini? MAJIBU ya Swali la 1 ni yanatosha kukufanya uelewe kwanini kuingia Barabarani au Tweets war hakuwatishi CCM na utawala wao wa kiimla na kidikteta Bali kuona ruhusa ya kuua raia wasio na hatia Kwa kigezo hicho hicho,
Maandamano na Tweets War hayagusi maeneo ambayo CCM wanakuwa wako katika No return point.
3 • Je, Adui/ Maadui halisi au wa kweli wa Wananchi wa Tanzania ni nani au nini?
Je ni CCM au KATIBA MBOVU? Kwa mujibu wa Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE kwake aliwataja na kutuaminisha maadui wetu ni watatu ambao ni UJINGA, UMASKINI & MGONJWA, Je ni kweli ? Kila Mwanasiasa wa leo anatafsiri maadui wa Watanzania Kwa utashi wake, Fikra zake na cheo au nafasi yake. Je, sisi wananchi Kwa kutumia FIKRA ZETU, bila ya progapanda na matashi & maslahi ya Wanasiasa, Adui au Maadui wetu ni nani / Nini na wako wapi ?
Ikiwa huwezi kumtambua Adui au Maadui zako wewe mwenyewe, utatumiwa na wanasiasa kupambana na maadui zao ambao sio halisi/ ni feki na utatumiwa kama ngazi na wanasiasa kutimisha maslahi Yao.
4 • Je tunapamabana na adui sahihi au tatizo sahihi au tunapambana na shina la tatizo huku MIZIZI tukiona sio tatizo?
Je, Mwanasiasa au Chama Cha Siasa kinachokueleza adui ni Katiba mpya na kukosekana Kwa mifumo Bora ya Uchaguzi na Sera mbovu za Serikali, je ni kweli hao ndio maadui wa Watanzania Kwa miaka 65 ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka 62 ya Muungano, je,Shida yetu ni Makaratasi tu na Sera za serikali ambayo tunaweza kubadili Kila siku tukipewa nafasi hiyo?
5 • Je Agenda za Wanasiasa zinafanana na agenda zako?
Je, Mabadiliko wanayoyapambania Vyama vya Upinzani na Wanasiasa majukwaani na kwenye mikutano Kwa Ujumla yanaenda sawa au ni sawa na Mabadiliko wanayoyatarajia Wananchi wa Hali ya Chini kutoka Kwao? Au tunapigania tunapigania matumbo na future ya watu wengine tukidhsni tunapigania future na matumbo yetu ?
6 • Je, ni mbinu na masuluhisho ya vitendo gani sio maneno ya kisiasa zinaweza kuleta mabadiliko nchini Tanzania ?
7 • Nini kutafuata baada ya katiba mpya ?
Je, baada ya struggle ( mapambano) Kwa ajili ya kupata katiba mpya, Je ipi ni vision (maono) au matarajio au hatma ya watanzania baada ya kupatikana Kwa KATIBA MPYA ?
Kabla ya sijaanza Uchambuzi wa kina sana Toka mwaka 1961 Hadi 2026 Kwa kutumia uthibitisho wa kihistoria na Kisheria na hata kisayansi (biological facts), ili upate picha halisi.
Tanzania ni taifa liliundwa Kwa Uongo(Lies), Propaganda na Udanganyifu (Fraud) msingi sana,ukifuata ushabiki wa vyama unaweza usiweze kuona uhalisia wa mambo Bali ukayaona mambo Kwa namna Wanasiasa wanavyokuelezea ukweli wa mambo.
Nikiwanukuu Mashujaa wa Ukombozi wa Mtu Mweusi na Wana philosophy ili tupate kuona ukweli wa haya;
1. Martin Luther King Jr.
“THERE IS NOTHING MORE DANGEROUS IN ALL THE WORLD THAN SINCERE IGNORANCE AND CONSCIENTIOUS STUPIDITY.”
“Hakuna kitu hatari zaidi duniani kuliko ujinga wa dhati na upumbavu unaotekelezwa kwa dhamiri.”
— Martin Luther King Jr.
2. Mark Twain
“WHAT GETS US INTO TROUBLE IS NOT WHAT WE DON'T KNOW. IT'S WHAT WE KNOW FOR SURE THAT JUST AIN'T SO.”
“Kinachotuingiza matatizoni si yale tusiyoyajua; bali ni yale tunayoyaamini kwa hakika kuwa ni kweli, kumbe sivyo kabisa.”
— Mark Twain
3. Ludwig von Mises
“IF THEY CONTINUE TO REPEAT THEIR LIES, WE TOO MUST CONTINUE TO REPEAT THE TRUTH.”
“Ikiwa Wao wataendelea kurudia uwongo wao, nasi pia lazima tuendelee kurudia ukweli.”
— Ludwig von Mises
4. Stephen Hawking
“THE GREATEST ENEMY OF KNOWLEDGE IS NOT IGNORANCE, IT IS THE ILLUSION OF KNOWLEDGE .”
“Adui mkubwa zaidi wa maarifa si ujinga; bali ni dhana potofu kwamba tunajua kuliko uhalisia tunaoujua.”
— Stephen Hawking
5. Philip K. Dick
“THE BASIC TOOL FOR THE MANIPULATION OF REALITY IS THE MANIPULATION OF WORDS. IF YOU CAN CONTROL THE MEANING OF WORDS, YOU CAN CONTROL THE PEOPLE WHO MUST USE THE WORDS.”
“Chombo cha msingi cha kudhibiti na kupotosha uhalisia ni kuendesha na kupotosha maneno. Ukiweza kudhibiti maana ya maneno, unaweza kuwatawala watu ambao wanalazimika kutumia maneno hayo.”
— Philip K. Dick
6. Thomas Sowell
“THE TRUTH IS OFTEN NOT VERY COMPLICATED. WHAT GETS COMPLEX IS EVADING THE TRUTH.”
“Ukweli mara nyingi si jambo gumu sana. Kinachokuwa kigumu ni kuukwepa ukweli.”
— Thomas Sowell
7. Maximilien Robespierre
“The SECRET OF FREEDOM LIES IN EDUCATING PEOPLE, WHILE THE SECRET OF TYRANNY LIES IN KEEPING THEM IGNORANT .”
“Siri ya Uhuru imo/hutegemea katika kuwaelimisha watu, wakati siri ya Udhalimu/Udikteta imo/hetegemea katika kuwaweka katika ujinga.”
— Maximilien Robespierre
Politician
8. Albert Einstein
“THERE WILL COME A TIME WHEN THE RICH OWN ALL THE MEDIA, AND IT WILL BE IMPOSSIBLE FOR THE PUBLIC TO MAKE AN INFORMED OPINION .”
“Itakuja siku ambapo matajiri watamiliki vyombo vyote vya habari, na umma hautaweza tena kutengeneza maoni yaliyojengwa juu ya taarifa sahihi.”
— Albert Einstein
9. George Orwell
“WHO CONTROLS THE PAST CONTROLS THE FUTURE. WHO CONTROLS THE PRESENT CONTROLS THE PAST.”
“Anayedhibiti yaliyopita hudhibiti yajayo. Anayedhibiti wakati uliopo hudhibiti yaliyopita.”
— George Orwell
10. George Orwell
“POLITICAL LANGUAGE IS DESIGNED TO MAKE LIES SOUND TRUTHFUL AND MURDER RESPECTABLE AND TO GIVE AN APPEARANCE OF SOLIDITY TO PURE WIND.”
“Lugha ya kisiasa imeundwa ili kuufanya uwongo usikike kama ukweli, mauaji yaonekane kuwa ya kuheshimika, na kuupa mwonekano wa uzito usio na kitu kabisa.”
— George Orwell
11. Edward Snowden
“PEOPLE DON'T REALIZE HOW HARD IT IS TO SPEAK THE TRUTH, TO A WORLD FULL OF PEOPLE THAT DON'T REALIZE THEY'RE LIVING A LIE.”
“Watu hawatambui jinsi ilivyo vigumu kusema ukweli kwa ulimwengu uliojaa watu ambao hawatambui kwamba wanaishi katika uongo.”
— Edward Snowden
12. Vladimir Lenin
“If you want to destroy a nation, destroy the thinking of its youth.”
“Ukitaka kuliangamiza taifa, angamiza uwezo wa kufikiri wa vijana wake.”
— Vladimir Lenin
13. Stephen Biko
“IT IS BETTER TO DIE FOR AN IDEA THAT WILL LIVE, THAN TO LIVE FOR AN IDEA THAT WILL DIE.”
“Ni bora kujitoa mhanga kwa ajili ya wazo litakaloishi, kuliko kuishi kwa ajili ya wazo litakalokufa.”
— Stephen Biko
14. Aldous Huxley
“THE VICTIM OF MIND MANIPULATION DOES NOT KNOW THAT HE IS A VICTIM. TO HIM, THE WALLS OF HIS PRISON ARE INVISIBLE, AND HE BELIEVES HIMSELF TO BE FREE .”
“Mwathitika wa udhibiti na upotoshaji wa akili hajui kwamba yeye ni mwathirika. Kwake, kuta za gereza lake hazionekani, na anaamini kwamba Yuko huru."
15. George Orwell
“THE MOST EFFECTIVE WAY TO DESTROY PEOPLE IS TO DENY AND OBLITERATE THEIR OWN UNDERSTANDING OF THEIR HISTORY.”
“Njia yenye bora zaidi ya kuwaangamiza watu ni kuwanyima na kufuta kabisa uelewa wao wenyewe kuhusu historia yao.”
TOA MAONI Yako au MAJIBU ya maswali hayo 7 ili tuweze kufanya Uchambuzi kwa pamoja.
PART 2:
Je ni Adui wa Watanzania ni Nani ?
Watanzania walio wengi wamekuwa wakiaminishwa na Wana siasa kuwa katiba mpya, Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi na Sera mbovu za Serikali iliyopo Chini ya CCM ni ndio adui mkubwa wa maendeleo ya watanzania na ustawi wa TAIFA
Mwl Julius kambarage Nyerere, aliwahi kuwataja na kutuaminisha maadui wa Taifa la Tanzania ni
• UMASKINI (POVERTY)
• UJINGA (IGNORANCE)
• MAGONJWA (DISEASES)
Je, Mwl Julius kambarage Nyerere alikuwa sahihi au lah? Ndio 💯 ✅
Miaka ya Hivi karibuni katika Mfumo wa Vyama Vingi, Maadui wa Watanzania wakatafsiriwa UPYA na Vyama vya Upinzani ambo Kwa ujumla wakitaja
• Katiba Mpya na Mifumo huru ya Uchaguzi.
• Sera mbovu za Serikali ya Cham Cha Mapinduzi (CCM).
Je, Vyama vya Upinzani wapo sahihi? NDIO Kwa 💯 ✅
Nani yupo sahihi Zaidi ya Mwenzake ? Hakuna Ambaye yupo Sahihi kumzidi mwenzake isipokuwa wote wapo sahihi Kwa kuangalia walitamka maneno hayo Kwa mazingira gani na maslahi gani
Hii ndo maana Mwana Falsafa wa Kingereza, George Orwell aliwahi kuandika kwenye kitabu chake Cha 1984
“POLITICAL LANGUAGE IS DESIGNED TO MAKE LIES SOUND TRUTHFUL AND MURDER RESPECTABLE AND TO GIVE AN APPEARANCE OF SOLIDITY TO PURE WIND"
"Lugha ya kisiasa imeundwa ili kuufanya uwongo usikike kama ukweli, mauaji yaonekane kuwa ya kuheshimika, na kuupa mwonekano wa uzito usio na kitu kabisa.”
Na Mwana Falsafa, Philip. K. Dick aliwahi sema
“THE BASIC TOOL FOR THE MANIPULATION OF REALITY IS THE MANIPULATION OF WORDS. IF YOU CAN CONTROL THE MEANING OF WORDS, YOU CAN CONTROL THE PEOPLE WHO MUST USE THE WORDS."
“Chombo cha msingi cha kudhibiti na kupotosha uhalisia ni kuendesha na kupotosha maneno. Ukiweza kudhibiti maana ya maneno, unaweza kuwatawala watu ambao wanalazimika kutumia maneno hayo."
Hii, Inatumika na wanasiasa wa vyama vyote haswa CCM katika kuendeleza utawala wake wa kidhalimu na kiimla ikitumia maneno kama AMANI, UMOJA, UHAINI, UZALENDO, UTULIVU Kwa malengo ya kisiasa ( wataalimu wanaweza kuita weaponization of meaning of words) Yaani maana ya maneno Hutumia kukidhi matashi ya maslahi ya mtu fulani au kikundi Cha watu au taifa fulani.
Adui wa Kweli wa Watanzania ( Wazanzibari na Watanganyika) ni POWER HEGEMONY ( MFUMO WA UDHIBITI WA NGUVU/MAMLAKA Eg KISIASA, KIJAMII NA KIUCHUMI) .
Tunatambua TAWALA zote za KIDIKTETA na Kiimla Hutumia vitu viwili ili utawala wao uendelee kudumu
• FORCE ( Njia ya mtutu wa BUNDUKI au Mabavu Kwa mfano Utekaji, Kubambikizaji wa kesi zenye malengo wa kisiasa, kupotezwa Kwa wakoseaji na Sheria kandamizi)
• POWER HEGEMONY ( Udhibiti wa Nguvu/ Mamlaka)
• BIOLOGICAL & FOOD POLITICS ( Siasa ya Vyakula na Mfumo wa Miwili wa Binadamu)
Vitu hivi 3 vinasaidia TAWALA za Kimla na kidikteta huendelea kutawala na oppressed ( wanaokandamizwa) na TAWALA hizo kuendelea kutii mamlaka Yao na kuepusha Civil war ( Vita vya wenyewe Kwa wenyewe ), Rebellion (Uasi) na Civil Disobedience (Migomo ya Raia).
Nyerere alifanikiwa kutumia vitu hivi at least Cha 1 na 2 kupitia One party System (Mfumo wa Chama kimoja) na Socialism Project (Mfumo wa Ujamaa).
Katiba inaweza dhibiti Use of Forces Kwa kiasi kikubwa ila haiwezi kuondoa Power Hegemony bila kuvunjwa Kwa mfumo mzima wa Ukandamizaji na Kudhibiti 3 Yaani Biological and Food Politics.
Je, Wapinzani au Vyama Pinzani hawajui Power Hegemony na Biological & Food Politics kuwa ni Moja ya NGUZO za Uhai wa UTAWALA wa CCM❓
• 50% Huenda wanajua bila kujua athari zake✅
• 25% Huenda wanajua na athari zake ila✅ wamepotezea wakipambania maslahi Yao kwanza.
• 25% Huenda hawajui kabisa. ❎
Kwa kifupi Shida ni Mfumo uliopo ambao ndio huamua MGAWANYO wa MADARAKA au mamlaka na rasilimali za taifa
Nini maana ya POWER HEGEMONY?
Ni Hali ambapo tabaka TAWALA linafanikiwa kufanya watu wengi wa tabaka la Chini wakubali mfumo uliopo ni wa kawaida, ni WA haki au angalau haiwezi kubadilishwa kirahisi bila taasisi au taifa kupata Matatizo katika utawala na undesheshaji wa nchi au taifa.
MAKUNDI AU AINA YA POWER HEGEMONY
• Historical Hegemony (Udhibiti wa Historia)
• Economic Hegemony (Udhibiti wa UCHUMI)
• Political Hegemony (Udhibiti wa Siasa na Sheria)
• Cultural Hegemony (Udhibiti wa Kiutamaduni)
• Information Hegemony (Udhibiti wa Taarifa/Habari)
NB:- Nitatumia udhibitisho (evidences) na facts zifuatazo kuelezea Power Hegemony nchini Tanzania;
1 • Katiba Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
2 • Vitabu vifuatavyo
Kupitia ushihidi huu Tutaona kuwa Katiba Mpya ni Suluhisho zuri ila kazi kubwa ipo kwenye kwenye kupambana na mifumo kandamizi.
Tukutane PART 3

- The State & Working People by Professer Issa. G. Shivji.
- Tools of Single Party Hegemony in Tanzania by Kassimir.C. Croke
- Democracy, Elections & Constitutionalism in Africa.
- Beyond Ujamaa in Tanzania in Tanzania: Underdevelopment & Uncaptured Peasantry
- Tanzania: The Legal Foundations of the Union by Professer Issa.G.Shivji.
- Pan-Africanism or Pragmatism?: The Lessons of Tanganyika-Zanzibar Union by Issa.G.Shivji.
- Class Struggles in Tanzania by Professer Issa.G.Shivji.
- Seeing Like A State: How Certain Schemes to improve Human Condition Have failed by James. C. Scott.
- A Modern History of Tanganyika by John Iliffe
- The Threats of Liberation: Imperialism and Revolution in Zanzibar by Amrit Wilson.
- Revolution in Zanzibar by Field Marshal John Okello.
- Zanzibar:The Hundred Days Revolution by Helen-Louise Hunter.
- Tanzania in Transition: From Nyerere to Mkapa by Dan Paget
- Tanzania: A Political Economy by Andrew Coulson
- The Critical Phase in Tanzania 1945-1968 by Cranford Pratt.
- Hegemony & Democratic Transition in Tanzania by Alexander. B. Makulilo.
- Peasants' Education in Tanzania & Education in Tanzania with Gender Perspective by Marjorie Mbilinyi
- Underdevelopment & Industrialization in Tanzania: A Study of Perverse Capitalist Industrial Development by Justinian Rwevemamu.
- Ujamaa: Essays on Socialism by Julius. k. Nyerere.
- Tanzania: The Limits to Development from Above by Kjell. J. Havnevik.
- The Political Economy of Tanzania: Decline & Recovery by Michael. F. Lofchie
- Thomas Sankara Speaks: The Burkina Faso Revolution 1983-1987
- Wretched of the Earth by Frantz Fanon
- Black Skin, White Masks by Frantz Fanon
- I Write What I Like by Steve Biko N.k