mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Mama Akamatwa kwa Kuzuia Mtoto Kufanya Mtihani wa KPSEA kwa Sababu ya Namba 666

    Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani. Kwa mujibu wa taarifa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Klabu ya vvip ya vilio: Mtihani wa kupoteza "watu wa maana" na ile gesi ya kusahaulishwa

    Wana-JF, Inavyoonekana, ulimwengu una aina fulani ya mzaha mchungu sana kwetu sisi walala-hoi. Katika miezi miwili hii iliyopita, msiba wa kitaifa umehamishwa rasmi kutoka kwenye vumbi la mitaa ya pembezoni ambako mamia ya walala-hoi walizikwa kwa haraka baada ya ile ishu ya Oktoba 29 ya mwaka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu malipo yasiyo na usawa kwa wataalamu wa maabara mkoani Mwanza, wakati wa mitihani ya NECTA

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusu malipo ya wataalamu wa maabara (Laboratory Technicians) wanaohusika na maandalizi ya mitihani ya vitendo kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne na Sita wakati wa mitihani ya kuhitimu inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Changamoto kubwa...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya

    Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya. https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Natafuta Apartment DSM: Ghorofa, AC, Jiko <300K

    Nataka ni sake apartment kabisa, hiyo 200k sio shida tena kwangu. Labda ni waambie tu. Mazingira unayoishi yanaku shape in subtle ways ambazo wewe mwenyewe huwezi kujua Nataka ni sake apartment, Wajuvi ni ipi bei chee kwa DSM na iwe below 300k yaani iwe ghorofani, iwe na air condition, na...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Watahiniwa milion 1.16 kufanya mtihani kesho

    Baraza la mitihani la Tanzania-NECTA limetangaza kuanza kwa mtihani wa kumaliza elimu ya msinga utakaofanyika September 9 hadi 10, 2026 ambapo watahiniwa milioni 1 na 168 elfu 649 wamesajiliwa kufanya mtihani huo huku wavulana wakiwa ni laki 531 elfu 467 sawa na asilimia 45.48 na wasichana...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania NECTA: Watahiniwa 1,168,649 kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2026

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026. Mtihani huo wa kitaifa unatarajiwa kufanyika rasmi tarehe 9 na 10 Septemba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa mtihani wa uwazi wa fedha

    Tanzania imeshindwa kufaulu mtihani wa uwazi wa matumizi ya fedha wa marekani huku kenya ikifaulu mtihani huo Swali :Wewe unafikiria ni kwanini Tanzania imeshindwa mtihani huo ? Mwisho tunamsubiri mzee wa makanusho aka Msigwa ila Msigwa
  14. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini?

    Kumbuka mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya mwenyewe, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini umefaulu sanaa?😄😄hii dunia banaa! Soma Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtumishi wa Umma, nilikopa 20m, nimejenga, kulipa imekuwa mtihani, sijui cha kufanya, nisaidieni

    Mwaka 2025 nilipitia changamoto kubwa sana maishani mwangu, hali iliyosababisha kupata msongo mkubwa wa mawazo. Kutokana na hali hiyo, nilifanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa shilingi milioni 20 ili kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba, nikiwa na lengo la kupunguza gharama za maisha na kupata sehemu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa SUA tunapata shida, hela za ada zilirudishwa HESLB na sasa tunashindwa kuingia kwenye mtihani

    Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa ni hitilafu ya mfumo na kwamba suala hilo linashughulikiwa, hivyo tusiwe na wasiwasi. Hata hivyo...
Back
Top Bottom