KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu.

Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa majibu ya kueleweka au muda wa tatizo kutatuliwa.

Tunaomba uongozi wa CBE na mamlaka husika wachukue hatua za haraka ili matokeo yetu yapandishwe na wanafunzi waendelee na mipango yao, kwani ilitakiwa tuwe tumepandishiwa mwezi wa 3 maana matokeo yetu yametoka mwezi wa 1.

Pia soma ~ Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums, baada ya msaada changamoto yetu imetatuliwa
 
Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu.

Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa majibu ya kueleweka au muda wa tatizo kutatuliwa.

Tunaomba uongozi wa CBE na mamlaka husika wachukue hatua za haraka ili matokeo yetu yapandishwe na wanafunzi waendelee na mipango yao, kwani ilitakiwa tuwe tumepandishiwa mwezi wa 3 maana matokeo yetu yametoka mwezi wa 1.
Nendeni kwa mkuu wa mkoa Mwanza...

Simu moja tu mtasaidika......period
 
Back
Top Bottom