Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.