Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
- Thread starter
- #41
Ndio nachokipitia mkuu yaani kila nikijitahidi kujiattach na kujipendekeza pendekeza napigwa knok out nakaa pembeni kwanza ila naona dharau za mke na wakwe zangu zimezidiUkioa kwenye hela na wewe huna hela au status, lazima utaonekana kolo ukweni. Na wao wataona sio hadhi yao, au umekuja kutaka kitonga.
Ni sawa uwe la nne B kama mimi, afu uoe familia watu wamebukua. 😊
Wanakuona MEMKWA tuu.