leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Namaanisha halafu leo wikiend nijali na mimi nika enjoy.Unanipanga !!!
Namaanisha halafu leo wikiend nijali na mimi nika enjoy.Unanipanga !!!
Hahaa una act sio BureNamaanisha halafu leo wikiend nijali na mimi nika enjoy.
kwa nini ni act kipenzi?Hahaa una act sio Bure
Sawakwa nini ni act kipenzi?
Mi nakwambia kweli ni bless dada yako nikipata ten najinywea kili zangu 4 nalala vizuri kabisa.
Ushauri wa Kijana huu Kwa Kijana Mwenzake.... Mtatembea sana na hamtafika.Pole mwanangu dahh!!! Na yeye alikuwepo wakati unaambiwa hayo yote?? Ilikuaje mpaka akaamua kukushtaki kwao badala ya kwenu?
Mwanangu hapo tembea tu, achana na hiyo kitu au endelea lakini pull off.
Wa kishua wameshtuka, siku izi wanapendana wao kwa wao.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Ukiona unapenda sana kuwa na authoritative perspective over other people's opinions, hii ni yellow flag kwako, jitazame sanaUshauri wa Kijana huu Kwa Kijana Mwenzake.... Mtatembea sana na hamtafika.
The same comment Ina reflect na kwako pia...!! Coz nilichofanya Mimi na wewe ndiyo umefanya, hafu unataka uonekani wewe huna hatia ila Mimi ndiye Mkosaji...! Una Akili za ki CCM......! Kuwanyamazisha Kila wenye mtizamo tofauti na wao, ukipewa Ukuu wa Mkoa, ama Urais, Watu wengi watapotea chini Yako.Ukiona unapenda sana kuwa na authoritative perspective over other people's opinions, hii ni yellow flag kwako, jitazame sana
HayaThe same comment Ina reflect na kwako pia...!! Coz nilichofanya Mimi na wewe ndiyo umefanya, hafu unataka uonekani wewe huna hatia ila Mimi ndiye Mkosaji...! Una Akili za ki CCM......! Kuwanyamazisha Kila wenye mtizamo tofauti na wao, ukipewa Ukuu wa Mkoa, ama Urais, Watu wengi watapotea chini Yako.
Acha Ubinafsi.