Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Lakini Yule jamaa alimpiga sana mke wake,
Kwanini ampige mkewe lakini.
Na Mkwe aliwafokea sana wale mabaunsa kumpiga Jamaa.
Sahihi Lakini kwanini Sonko aende pale na Camera? What was his motive behind going with cameraman?

Hata yule dada alifoka Fulani wale mabaunsa kumpiga mumewe

If Sonko had a good motive behind that matter he wouldn't have gone with cameraman to record the incident and post it on social media

That was an insult to his in-law
 
Sidhani kama ni Baba Mkwe mwenyewe aliyepost
Na kama alipost basi itakuwa tu ilikuwa hasira,,ila hata wewe uliona namna aliwafokea wale jamaa kumpiga Mkwe .Si ajabu hata kazi aliwafukuza ,maana wale walienda tu kumlinda Baba Mkwe, na si vinginevyo.
 
Achana nae utakuja kuua au kuuawa. Kuvumilia huo ujinga ni kukaribisha kifo. Mke au mkwe anae kudharau ukiwa na afya njema usifikiri ukiumwa watakuonea huruma.

Fikiria umelazwa hospital huyo mke wako anaweza hasikuletee msosi na kukuuguza. Bora kwenu wajue huna mke ili ukipata changamoto ya kiafya wajipange kukuuguza kuliko wajue mke ndie anakuuguza kumbe amekutelekeza hospital ili uwahi kwa muumba.
 
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
hard laugh.jpg
Pole bro...ila hao vimwana hupenda bad bwoy
kwani kwenu mnakoishi kimwana msumbufu? Ukweni si ugome kwenda next taimu
 
Ukioa kwenye hela na wewe huna hela au status, lazima utaonekana kolo ukweni. Na wao wataona sio hadhi yao, au umekuja kutaka kitonga.
Ni sawa uoe familia watu wamebukua. 😊
Wanakuona MEMKWA tuu.
Sasa mbona mimi wangu ana Masters tena ya Uuguzi na Ukunga mimi hata Certificate tu sina nilikula kona na maarifa nimemzidi parefu sana
 
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
Kuna kitu unakitafuta, jina lake linafanana na kampuni moja iko njia ya kwenda Kurasini kwenye daraja la juu pale.
 
Familia inaweza isikudharau ila mwanamke akishakuzidi mali na elimu ni ngumu sana kuji-control asikudharau. Mleta uzi jiandae kwa kichapo toka kwa kaka zake kama anao. Au hata mchepuko unaweza kukutwanga akijitambulisha kama binamu.
😄😄😄😄
 
Kapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.
😄😄😄Hahah
 
Wewe umekubalije kuletewa izo zarau mkuu?? Next time mwanamke kama mmekosana kaenda kwao marufuku kumfata kaa kimya endelea na maisha mzee!!!! Huo ni uzaifu mkubwa umeonyesha your a man, be a man.
 
Yaani unawezaje kujipa ujasiri wa kuwa upo powerful ikiwa uhalisia wako hauko hivyo nilijikaza mwanzoni ila siku zinavyoenda makucha ya dharau yananitoa mchezoni. Kuna siku nilienda kwenye harusi ya ndugu yao mmoja pale hyatt tumetoka najitahidi kuwasalimu ndugu zake na wakwe wakwe wengine hata kunichangamkia hawanichangamkii wanapanda vyuma vyao wanatembea we unawezaje nikawa mtu wa kujitenga na mambo yao dharau kmmk

Sikiliza man unzingua!!! Power uliyo nayo unapaswa kujua wewe ndo mume wa huyo mkeo” wewe unahisi kwenye ndoa power ni pesa tu? Simama kiume wanawake hawapendi wanaume waoga na wanaolialia unataka umuhakikishie ulinzi sasa wewe uwoga umekunaa sijui pesa sijui magari😂😂 unafeli huyo mke mpaka umemuoa ni power tosha kwako alafu acha shobo na hao ndo nenda kwenye sherehe imeisha pita kushoto mpaka na wao wajiulize huyu jamaa vipi mbona hana mazoea na raia!!! Jitathimini kuna shida mahala kwenye upande wako, kama unayo ongea ni kweli basi simama kiume tunza familia yako mpe rules mkeo na wacha kumuogopa mke wako!.
 
Back
Top Bottom