Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Ukioa kwenye hela na wewe huna hela au status, lazima utaonekana kolo ukweni. Na wao wataona sio hadhi yao, au umekuja kutaka kitonga.
Ni sawa uoe familia watu wamebukua. 😊
Wanakuona MEMKWA tuu.
Unaweza ukaoa kutoka familia ya kawaida, halafu Neema ya Mungu ukakutana nayo mbele ya safari.
Mchengerwa alimuoa Wanu kipindi mama mkwe wake alikuwa hana urais wala umakamu
 
Kapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.
Pole sana mkuu,
Inaonekana mmeoana mkiwa mpendani mapema
 
Unaweza ukaoa kutoka familia ya kawaida, halafu Neema ya Mungu ukakutana nayo mbele ya safari.
Mchengerwa alimuoa Wanu kipindi mama mkwe wake alikuwa hana urais wala umakamu
Alikuwa ni Waziri kwani Waziri ni mtu mdogo.

Pia mtu aliyetokea kwenye humble life hata akipata neema baada ya kuwa nae kwa muda mrefu ni tofauti kidogo na kuwa na ambaye anaye kuzidi kila angle since day one.
 
Si uwaambie warudishe mali au mali kaeni nazo na mtoto wenu kaeni naye, mbona wanawake wako chungu nzima, hizo dharau mimi nisingesubiri hata kuja kuomba ushauri, zaidi zaidi labda ningeutoa tu taarifa.

Maisha ni mafupi sana hakuna haja ya kuishi kwa stress ya namna hiyo, dharau za wazi wazi zipinge Mkuu. Usikute hapo hata mtoto wao ana support huo ujinga na hapo hapo anataka aendelee kuishi na wewe
Asnate mkuu
 
Pole na hii changamoto Mkuu, Kuna Mshikaji wangu naye aliowa mwanamke Familia inajiweza (Mwanamke familia yake ina undugu na Mama Salma Kikwete) na mbaya zaidi jamaa alitoka kwao akahamia ukweni, Jamaa alianza kulipishwa mpaka kodi ya Chumba anacholala na Mke wake, hakutoboa miezi 10 tu jamaa akanyoosha mikono.
Mbaya sana mkuu ni vile hatusemi ila familia nyingi za kitanzania ambazo unaziona zina maisha ya kitajiri zina shida sana ni vile wengi tunakuja kujua tushazama kutoka ni kipengele. Nachoka sana
 
Back
Top Bottom