Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Hujui kumuandaa mwanamke kabla ya kuingilia?Kanda ya ziwa mojaaa

Pole na hii changamoto Mkuu, Kuna Mshikaji wangu naye aliowa mwanamke Familia inajiweza (Mwanamke familia yake ina undugu na Mama Salma Kikwete) na mbaya zaidi jamaa alitoka kwao akahamia ukweni, Jamaa alianza kulipishwa mpaka kodi ya Chumba anacholala na Mke wake, hakutoboa miezi 10 tu jamaa akanyoosha mikono.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Umeangalia pande moja. Mume mwenyewe MLEVI ukute anavimada...Waambie warudishe mahali ujue kuna muda dawa ya moto ni moto tu inakuaje baba mkwe anakujibu hivyo njoo kijiweni nitasimama kama baba yako
Kuna mmoja juzi kati sijui FB au humu alileta nyuzi akapendekeza vijana wa kiume wajitahidi kuji-attach kwenye familia za Kitajiri kama alivyofanya Isaya ili watoke kimaisha. Sasa na wewe leo umekuja na lingine. Mbona mnatuchanganya!Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Mna watoto?Wanirudishie hela yangu kama alivyosema baba yake kila mtu atembee upande wake mi nishachanganykiwa
Kwa jinsi ninavyojifahamu ningempa akaunti namba aingize huo mpunga. Ningeondoka zangu.Milioni 8 na laki na hamsini ilipungua laki wakataka kuturudisha tulikotoka bila busara za wale wazee wangu ndoa isingekuwepo
Focus kuelewana na kuiweka vizuri familia (mke na watoto wako) hao wengine achana nao, kama wanakudharau acha kwenda kwenye shughuli zao na uwe more independent,heshima itarudiYaani unawezaje kujipa ujasiri wa kuwa upo powerful ikiwa uhalisia wako hauko hivyo nilijikaza mwanzoni ila siku zinavyoenda makucha ya dharau yananitoa mchezoni. Kuna siku nilienda kwenye harusi ya ndugu yao mmoja pale hyatt tumetoka najitahidi kuwasalimu ndugu zake na wakwe wakwe wengine hata kunichangamkia hawanichangamkii wanapanda vyuma vyao wanatembea we unawezaje nikawa mtu wa kujitenga na mambo yao dharau kmmk
Hakuna ata mmoja. Ata kama mwanamke akikupenda na akawa anakupa mshahara wake. Kuna vikao vya kifamilia ukialikwa ukwen utagundua wewe ni useless..... Na watoto wako watakuwa na mapenzi na ukweni si unajua Generation Alpha haitaki shida. Kwenye urahisi ndio wanapopenda.NImegundua kati ya wanaume 100 waliooa wanawake ambao wanatoka familia za kitajiri ni wanaume wachache sana wanaoishi kwa furaha waliobaki huwa mandondocha
Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke/ Mume wa kupewa na Mungu.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Nishaona kumbe changamoto ya bwashee hajui kumuandaa mkewe ni wale wa kanda ya ziwa wa inama nilengeUmeangalia pande moja. Mume mwenyewe MLEVI ukute anavimada...
Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke/ Mume wa kupewa na Mungu.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
😳Milioni 8 na laki na hamsini ilipungua laki wakataka kuturudisha tulikotoka bila busara za wale wazee wangu ndoa isingekuwepo