OMKEIT 93
JF-Expert Member
- May 12, 2026
- 294
- 442
Halafu kuna kajamaa humu ndani alisema tusioe wanawake masikiniLeo hamuwataki tena wenye hela? Mbona hamueleweki
Halafu kuna kajamaa humu ndani alisema tusioe wanawake masikiniLeo hamuwataki tena wenye hela? Mbona hamueleweki
Ndoa ni mapenzi na si fedha.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Mbona mnawachanganya sana wadogo zenu wa kiumeYaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Ndio nashangaa hapa, leo tena watu wanakimbia wanawake wenye helaHalafu kuna kajamaa humu ndani alisema tusioe wanawake masikini
Kitonga kimemponza inatakiwa aludi sasa asimame kama mwanaume kichwa cha family awe na maamuzi sasaWewe itakuwa Kuna favor ulipokea Yale Yale mnapewa Kiwanja wakati wa harusi unaanza Kujenga apo Kwa akili kuwa ni kwangu au mnapewa nyumba na Wewe unahamia
Huyo ni Mkeo Ingekuwa Mimi apo mzee mbona angejua hajui kwanza mtu akishakuwa mke wangu Mimi ndio Nina final say nae
Sasa mzee anafanya intervention Kwasbabu Kuna sehemu ulionesha weakness narudia usi accept favor za ukweni hata uwe na shida kiasi gani this is for your own peace of mind hapo baadae ukiweza limit kabisa interaction ya familia yako na ukweni iwe kidogo sana
Kule Kenya Mike Mbuvi Sonko yule Ex governor wa Nairobi alienda Kwa mkwewe na mabaunsa Yani imagine mpaka baunsa wanampiga makofi jamaa kisa tu mtoto wa kike wa Sonko kapigwa na Mumewe, Mike Sonko alienda mbali na kumwambia jamaa kuwa anawalisha na anasomesha wajukuu zake bado anatesa mwanae
Sasa unaona huu upuuzi wote umeletwa na Ujinga wa mshikaji tu kuruhusu Favor za ukweni kwenye Maisha yetu haya kama mwanaume have some principles ukizi violate wakati huu who for just personal gain just consider it as a loan, You will pay it later miserably
Kama alikuwa anamtegemea mwanamke kulisha familia au familia ya mwanamke kifedha au alianza kuonesha interest na mali za mkewe na familia yake lazima wakudharau.Kitonga kimemponza inatakiwa aludi sasa asimame kama mwanaume kichwa cha family awe na maamuzi sasa
Asihitaji kurudishiwa mahari yeye awe masikini jeuri yaani bora ghasia imtoke abaki na amani yake.Kubali warudishe mahari na mtoto wao wamchukue..!!
Waache upumbavu hakunaga mahusiano ya hivyo..!!
Lakini na wewe umeyataka, ulianzaje kuogelea kwenye sio chako?
Sio kila mtu anaweza kujiattach, some people wanathamini ile “real connections” Ile kama ya masela wakikutana kijiweni wote wanapiga story kwa usawa, haijalishi nani ni nani, na nani ni nani.Mi nashangaa sana watu wanashindwaje kujiattach kwenye familia za kishua? Mbona familia za kishua hazina taabu. Kuna namna mwanaume unatakiwa kuwa ili uweze kujiattach kwenye familia zenye uwezo.Ukijua kuishi na watu hakuna mahali utashindwa kuishi. Inatakiwa Mama mkwe awe mpenzi na baba mkwe awe mshikaji, utatoboa.
Kaka hapo hakuna ndoa ukiona kwenye ndoa unanyimwa tendo la ndoa ujue hapo hakuna ndoa tena unafikili mpaka unatoa mahaali unaoa kwaajili ya kuoshewa vyombo hapo kuna mtu anaichapa iyo mali tena kazini kwake kwaiyo ndo dhalau kama izoKama alikuwa anamtegemea mwanamke kulisha familia au familia ya mwanamke kifedha au alianza kuonesha interest na mali za mkewe na familia yake lazima wakudharau.
Kabisa kaka ina chapwa kweli kweli na watu wa level zake matajiri wenzake au mtu ambaye ana mfeel zaidi mpaka anachoka.Kaka hapo hakuna ndoa ukiona kwenye ndoa unanyimwa tendo la ndoa ujue hapo hakuna ndoa tena unafikili mpaka unatoa mahaali unaoa kwaajili ya kuoshewa vyombo hapo kuna mtu anaichapa iyo mali tena kazini kwake kwaiyo ndo dhalau kama izo
Kwani mkuu amekushikia panga kuwa naye? Au ni pisi kali kiasi kwamba unaogopa kumuacha inakuuma? Tendo la ndoa ndio lililo sababisha ufunge naye ndoa bila tendo la ndoa ndoa hakuna hiyo ndio principleHataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
nyie tena, hamtaki kujiattach kwenye familia za kishua?
Kuoa kwa wenye nazo upendwe wewe,NImegundua kati ya wanaume 100 waliooa wanawake ambao wanatoka familia za kitajiri ni wanaume wachache sana wanaoishi kwa furaha waliobaki huwa mandondocha
Wanaume suruali nyie jishikeni ila kwa mtu unayetambua thamani yako huwezi kukubali mtu akubagaze na kukutweza utu wako kisa mali zake.Tutajiatach tuu hata kwa risasi
Wale jamaa wa izo mambo ni maneno tu yale, ila kiuhalisia kwa ground ni kitu hakiwezekani, nature yenyewe tu inakataa. Mwanaume kama kichwa cha familia mwanamke akuzidi kila angle na still awa submissive kwako.Si tulikubaliana muoe mambo safi msaidiane majukumu????
Sisi njaa kali tuko bench tunasikilizia milio