Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Ukidai mahari inaonesha ulikuwa una mhitaji sana huyo mwanamke, na bora kuwa umiza hisia bila kudai chochote kuonesha wewe mali zao si kitu kwao kwa sababu ndio kilichopo kichwani mwao.
Baba mtu kasema kama nimemchoka niombe mahari niliyoitoa irudishwe hapo umemuelewa ? Hapo hawanihigaji kuwa sehem ya familia yao
 
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
Wewe mkuu acha unyonge wao si wamekuvunjia heshima na wewe ungewavunjia heshima simple
 
Kwa hiyo kijana wetu Yunge, soon kinaenda kumramba?

Sema kwenye haya maisha bwana, Everything comes with a price. Everything has a price to pay.

Ukioa maskini, ukoo wao wote unakutegemea wewe, simu za kuomba hela haziishi.

Ukioa tajiri, dharau na mikausho mikali.

Hapo kila mtu atachagua wapi atamudu.

Unless otherwise, Kubaki Single ndio solution pekee.
 
Hataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
To be fair tungetaka kusikia upande wake pia kwa hili 😁, na wanaume tukinyimwa hatubaki, kubaka ni kutumia nguvu kama kupiga tuu inawezekana ulimuumiza , naanza kuona tatizo lako 🤔
 
Baba mtu kasema kama nimemchoka niombe mahari niliyoitoa irudishwe hapo umemuelewa ? Hapo hawanihigaji kuwa sehem ya familia yao
Ndio lakini wewe unaweza kuonesha kwamba na wao huwahitaji na huna haja na kurudishiwa hela yao wala hudai. Bora huyo mwanamke aondoke zake.Kuwa masikini jeuri mzee kwa sababu wao wanaonesha kuwa hela ndio kila kitu na wanaona watatumia hela kukuendesha.
 
Ndio lakini wewe unaweza kunonesha kwamba na wao huwahitaji na huna haja na kurudishiwa hela yao wala hudai. Bora huyo mwanamke aondoke zake.Kuwa masikini jeuri mzee kwa sababu wao wanaonesha kuwa hela ndio kila kitu na wanaona watatumia hela kukuendesha.
Huyu jamaa kakiri anambaka mke wake,anaonekana ni mtu wa hovyo tuu
 
Kwa hiyo mkuu mpaka kupikiwa nako nipangiwe ratiba namwambia anipikie ananiambia agiza Msosi app yeye ameshachoka na anaenda kulala hivyo si dharau hizi
Umri wako bro au hii chai, mbona hata sisi hawa walala hoi wanatuambie tupike, na tunapika mi Kuna muda Hadi kufua nafulishwa kaka lakini si mshua huyo demu
 
Nilicho kigundua kwako we ndio mwenye tatizo hapo ULIPO sema amechoka kupikia, nikagundua shida Yako wewe si mvumilivu walala hoi wetu hawa unatoka kwenye hekaheka hukuti msosi, ukimuuliza anakwambia kaagiza chips nawe agiza ule, usha ona hapo sasa na wewe kama hujazoea hizo changamoto inakula kwako, alafu sisi waislamu kipenzi chetu mtume Mohammed s.a.w, katusihii kazi zote za nyumbani afanye mwanaume mkeo ni kitandani tu, sisi tuna Fanya vice versa
 
Back
Top Bottom