Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Ni kweli ulichoandika mkuu kuna kiwanja kikubwa hapo mjini kati kikubwa tu na nyumba ya kaghorofa ikajengwa tuishi kule ila nilivyooana dharau zimezidi nikaenda kupanga sasa ndio hiyo nyumba ambayo baba amenipiga nayo usoni leo kafunua makucha kmmk
Ulitakiwa uteme nyongo palepale bila kuwatolea lugha chafu yeyote ile. Pia mke umwache palepale
 
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
zoea sasa kulewa kama brother ako min -me
 
Hata ukimzidi kipato haifai kumuamrisha. Amri ziko jeshini sio nyumbani. Mama watoto unaongea nae mnaelewana kwasababu ni mpenzi wako. Acheni hizo adabu za kale, eti nimemuamrisha. Mimi ningekuwa huyo baba mkwe wako ningekutia makofi kabisa
 
😀😀😀 Poor Brain ananimaindi ninemmkataa mshangazi wake aisee.
659521.jpg
 
Back
Top Bottom