Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Sio kila mtu anaweza kujiattach, some people wanathamini ile “real connections” Ile kama ya masela wakikutana kijiweni wote wanapiga story kwa usawa, haijalishi nani ni nani, na nani ni nani.

Kissing ass ni an early learned trait, kama hukujifunza hii mapema ukubwani hutaweza.

Ili usavaivi kwenye familia za namna hii, It’s either you’re an ass kisser ufanikiwe or you’re not ujisikie kama mleta mada anavyojisikia, there’s no inbetween.

Familia za kishua zinaishi kama (serikali ya CCM inavyo-operate) uchawa na uongo uongo.

Mi kuna siku niliuliza mbona tunaishi kama tuko kazini? Nikaambiwa nijifunze ku-navigate family politics, and just like that i was out.

Kiukweli kama huwajui hawa watu utasimplify mambo, If you have nothing inahitaji uwe mtu wa personality yao..
Mtoa mada ajaribu kulia
Labda huenda itamshtua mke wake.
 
Wewe itakuwa Kuna favor ulipokea Yale Yale mnapewa Kiwanja wakati wa harusi unaanza Kujenga apo Kwa akili kuwa ni kwangu au mnapewa nyumba na Wewe unahamia

Huyo ni Mkeo Ingekuwa Mimi apo mzee mbona angejua hajui kwanza mtu akishakuwa mke wangu Mimi ndio Nina final say nae

Sasa mzee anafanya intervention Kwasbabu Kuna sehemu ulionesha weakness narudia usi accept favor za ukweni hata uwe na shida kiasi gani this is for your own peace of mind hapo baadae ukiweza limit kabisa interaction ya familia yako na ukweni iwe kidogo sana

Kule Kenya Mike Mbuvi Sonko yule Ex governor wa Nairobi alienda Kwa mkwewe na mabaunsa Yani imagine mpaka baunsa wanampiga makofi jamaa kisa tu mtoto wa kike wa Sonko kapigwa na Mumewe, Mike Sonko alienda mbali na kumwambia jamaa kuwa anawalisha na anasomesha wajukuu zake bado anatesa mwanae

Sasa unaona huu upuuzi wote umeletwa na Ujinga wa mshikaji tu kuruhusu Favor za ukweni kwenye Maisha yetu haya kama mwanaume have some principles ukizi violate wakati huu who for just personal gain just consider it as a loan, You will pay it later miserably
Lakini Yule jamaa alimpiga sana mke wake,
Kwanini ampige mkewe lakini.
Na Mkwe aliwafokea sana wale mabaunsa kumpiga Jamaa.
 
Ndio nachokipitia mkuu yaani kila nikijitahidi kujiattach na kujipendekeza pendekeza napigwa knok out nakaa pembeni kwanza ila naona dharau za mke na wakwe zangu zimezidi
Unajua wao wanapata wapi nguvu ya kufanya hivyo? Nguvu wanaipata na wana ujasiri wa kufanya hivyo kwa sababu mkeo anakudharau na wanajua.
 
Sh
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
Shida sio wao, shida ni mkao wako tangu unaingia kwenye hiyo familia. Ulivyojiweka ndivyo utakavyofanywa

Na jinsi ulivyotoka kwenye hicho kikao ndo imezidi kukuzamisha katika hiyo hali. Hicho kikao ilikua ni nafasi ya kubadili mambo, yakae vile unataka wewe.
 
Kapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.
Mna watoto wangapi?
 
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
Comrade!
Kubali nyakati,ndoa Haina umilele wa mpaka kifo kama mnavyoaminishwa na dini hizi,ni nyakati ndio huamua!!

Unaweza kumchukua anaetia huruma kwa kila kitu,elimu,historia ya maisha ,Hali duni n.k lakini nyakati zikipita ukamvusha kote huko hatokumbuka ulipmtoa!

Kuna kina sisi tulichukua watia huruma tukawaacha tuliowapenda kwa dhati jpkwa kigezo ana ujauzito wangu au mtoto wangu lakini nyakati zilipofika walifanya mambo ya ajabu bila kujali majina yao kwenye jamii!!

KUBALI NYAKATI ZIMEISHA NA WEWE SIO SHUJAA WAKE TENA YOU'RE JUST ANOTHER MAN TO HER!!

OA tena,mwambie aende kwao!usiogope atakaekulea uzeeni cha msingi tengeneza mifumo ya kiuchumi coz mwenye vipesa Huwa hakosi mtu wa kumpikia na kumfulia nguo uzeeni!!
 
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.

Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.

Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.

Nimeanza kulewa.
Asikutishe wala wasikutishe,kama walikuoza mwanamke ili akunyanyase hilo usilikubali,koma huyo ni mke wako anachotakiwa ni kutii maamuzi yako,kinyume cha hapo waje tu kumchukua,utakuja kufa na mapresha bila ya sababu...
 
Back
Top Bottom