secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Naangalia tu!Atavumilia kwani hakuwa na mtaji?
Anyways kwetu ni have nots kwahiyo usijali baby’ake!🤸🏽♂️
Naangalia tu!Atavumilia kwani hakuwa na mtaji?
Anyways kwetu ni have nots kwahiyo usijali baby’ake!🤸🏽♂️
Pole sana , umevamia mtumbwi wa vibwengo.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Hii kitu nilifundishwa na marehemu mjomba wangu mnamo 1991, na akaongeza kuwa ni vyema kujitahidi kumbadilisha kipindi cha uchumba kwa hali na mali, ikishindikana ni kutokufunga ndoa, ila ikitokea mmefunga ndoa, muishi kila mtu atakavyo.😂😂... Pole... Cha muhimu watu mkifunga ndoa usitake kumbadilisha mwenzio awe unavyotaka. Ishi naye tu hivyohivyo.
Hapo kinachofuata kukatazwa mchezo hata kama ni zamu yakoKapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.
Wee banah yaani shida zako tayari ndo umeshafanya na ugunduzi kwa wengine?NImegundua kati ya wanaume 100 waliooa wanawake ambao wanatoka familia za kitajiri ni wanaume wachache sana wanaoishi kwa furaha waliobaki huwa mandondocha
Huwa wanaanzaje kusimulia 😀😀😀kwamba baba nimebakwa au yaan kwetu ni unakula bakora kisnitch wanakupasua vizuri na uzee wakoHataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Huyu atakuwa Kiranga tuMbona mnawachanganya sana wadogo zenu wa kiume
Megalodon alisema mujiattach familia za matajiri,
Wewe unakuja tena kusema hapana.
Shenz type. Bora ukomae wakuue tu.Dah mkuu ni mateso tu nishauuri nikimbie ndoa au nikaze mpaka waniue kwa stress
Huyu atakuwa Kiranga tu
Anatatizo la afya ya akili na hajui Hilo
All in all vijana waji attach na kutambua fursa
Mfumo dume hauna dili , wapo wanawake wanatuzidi elimu fedha na maarifa: tuji attach na tuwe chin yao
Mwisho wa siku men atabaki kuwa men nashangaa watu wanaogopa nini
ChaiNImegundua kati ya wanaume 100 waliooa wanawake ambao wanatoka familia za kitajiri ni wanaume wachache sana wanaoishi kwa furaha waliobaki huwa mandondocha
Mfumo wa hovyo sanaWanaume waoga sana😀
Au wanapenda kuishi maisha ya kizamani ya kunyanyasana, au unaonaje Mkuu?
Ukute vijana hawana chochote kichwani na mkononiMfumo wa hovyo sana
Yani uache mwanamke potential kisa kwao ni matajiri kwahiyo ata ku drive
Kuna watu wanapenda sana kuishi kwa matatizo wakiamini huo ndio urijal
Ishu ni unaingia kwenye hizo family huna any skills unasubiri kupewa hapo ni isshu
But unaingia huko ukiwa na elimu na skills hata wao watakutumia
Kama yule jamaa alikuwa financial specialist akaingia kwa familia ya matajiri mkwe akaamua kumuajiri kwa kampuni zake na kuzisimamia
jamaa akawa anakoa millions of money zilizokuwa zinapotea kwa kukosa financial specialist sahihi
Jama akawa ananyonya mirija ya maisha huku family ikimuona kama Yesu kwa msaada wake
Ni namna vijana mnavyojiposition
Kiuno sio mtaji
😂😂😂😂😂Hapo bado mkuu.. kuna siku kaka zake watakupiga.
Kwani mkiishi bila kuungurumaMwanaume inabidi awe mtu wa kuchekacheka tu, hawezi kuunguruma ndani.