Manyanyaso...mdharau
Huyo mke umemwacha kwa baba mkwe au umerudi naye nyumbani? Kama umerudi naye basi wewe bwege.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
tendo la ndoa kwa njia ya kawaida hii au kinyume?mana kuna kesi za badhi ya wanaume kuomba kuwaingilia kinyumeHataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Sawa dada 😘Tuendelee kusoma koment tuone upande wa washauri unasemaje
Hataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Mi sijui labda hao wengine 😀
Ni kweli ulichoandika mkuu kuna kiwanja kikubwa hapo mjini kati kikubwa tu na nyumba ya kaghorofa ikajengwa tuishi kule ila nilivyooana dharau zimezidi nikaenda kupanga sasa ndio hiyo nyumba ambayo baba amenipiga nayo usoni leo kafunua makucha kmmkWewe itakuwa Kuna favor ulipokea Yale Yale mnapewa Kiwanja wakati wa harusi unaanza Kujenga apo Kwa akili kuwa ni kwangu au mnapewa nyumba na Wewe unahamia
Huyo ni Mkeo Ingekuwa Mimi apo mzee mbona angejua hajui kwanza mtu akishakuwa mke wangu Mimi ndio Nina final say nae
Sasa mzee anafanya intervention Kwasbabu Kuna sehemu ulionesha weakness narudia usi accept favor za ukweni hata uwe na shida kiasi this is for your own peace of mind hapo baadae ukiweza limit kabisa interaction ya familia yako na ukweni iwe kidogo sana
Kule Kenya Mike Mbuvi Sonko yule Ex governor wa Nairobi alienda Kwa mkwewe na mabaunsa Yani imagine mpaka baunsa wanampiga makofi jamaa kisa tu mtoto wa kike wa Sonko kapigwa na Mumewe, Mike Sonko alienda mbali na kumwambia jamaa kuwa anawalisha na anasomesha wajukuu zake bado anatesa mwanae
Sasa unaona huu upuuzi wote umeletwa na Ujinga wa mshikaji tu kuruhusu Favor za ukweni kwenye Maisha yetu haya kama mwanaume have some principles ukizi violate wakati who for just personal gain just consider it as a loan, You will pay it later miserably
Yeye huwa anaondoka upepo ukikaa sawa anarudi yaani tunaishi kama Israel na Palestina amani ya kudumu hakuna kazi haziendi navurugwa tu huyu mwanamke kaniweka sehem mbayaNikuambie kitu....
We rudi tu nyumbani kwako.
Kaa kimya tu usimuulize chochote mke wako.
Akitaka aondoke yeye.
wapi huko😆🤣🤣🤣
Huyo jamaa amenikumbusha mbali sana
Pole sana Mkuu, Sasa apo be bold enough ili wao wachague mtoto wao apoteze ndoa au aendelee na ndoa with a very limited access na waoNi kweli ulichoandika mkuu kuna kiwanja kikubwa hapo mjini kati kikubwa tu na nyumba ya kaghorofa ikajengwa tuishi kule ila nilivyooana dharau zimezidi nikaenda kupanga sasa ndio hiyo nyumba ambayo baba amenipiga nayo usoni leo kafunua makucha kmmk
Mkuu nilimbaka jana usiku baada ya kuona haki yangu sipewi kistaraabu asubuhi kawasha chuma mpaka kwao mimi sikwenda job nikaenda huko kwao maana sikujua kama nini kinataka kuzungumzwawazazi wa mke wako kama waliona issue ni kubwa walipaswa kuwashirikisha na upande wa wazazi wako katika hicho kikao kuleta usawa.
upande wa kikeni-wazazi
upande wa kiumeni -wazai
pamoja na yie mke na mume.
wewe haukuwa na mwakilishi wa upande wako..ili kuleta usawa.
Hii imekaa vizuri ntaofanyia kaziPole sana Mkuu, Sasa apo be bold enough ili wao wachague mtoto wao apoteze ndoa au aendelee na ndoa with a very limited access na wao
Tena outline your need Kwa Mkeo clearly kabisa na muambie ili cross line basi we are done, It's tough especially kama mna vitoto Lakini trust me ni appropriate way ya kusolve izo changamoto Kwa zaidi ya 90%
Kitakacho rudisha heshima yako apo ni misimamo mikali kabisa usiogope kumuacha aende mana ukisema ushirilie utapoteza dignity yako na manhood
Huyo ni Mkeo stand firm na kata connection na familia yao kabisa na mpe very limited access na kwao with your approval
Muhusika ndio ana majibu