tendo la ndoa kwa njia ya kawaida hii au kinyume?mana kuna kesi za badhi ya wanaume kuomba kuwaingilia kinyume
.ila kama ni kawaida kwa njia ya asili sio kesi ya yeye kukufikisha baraza la wazee.
na wanawake nao ni binadamu kuna wakati wanachoka kuna wakati wanaumwa pia na kuna wakati anakuwa hajisikii kwa sababu mbali mbali.
SO akikwambia nimechoka napumzika napumzika ,ama kichwa kinauma ,ama nimepata habari mbaya nina mawazo fulani unamuelewa .
Chakula ni issue ndogo kama sio mara kwa mara inatokea kusema amechoka kupika ,ila kama ni kila siku hakupikii hiyo ni issue.(ni petty things )
ila umesema main issue ni kupangiwa unyumba,kama sio mara kwa mara hayo yanazungumzika ni kiasi cha kumuelewa mwenzako.
SIJAONA sababu kubwa ya Kupelekea kumfikiria vibaya ,au KUACHANA .(Trivial)