Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa.
Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio mazuri pia
"Watu wengi sana wamekamatwa. Watu wengi sana wametekwa kwa kutumia vifaa vyao wanavyomiliki simu... wakamataji, watekaji na wachoreshaji wanatumia sana mitandao ya simu hususan laini za simu..."
"Mtu huyo huyo akikufuata akisema unafanya kazi nzuri nipatie namba yako ya simu nikupatie pesa ya maji... Brother umeisha? Ishi kwa machale. ipo siku utarelax kwa sasa hivi kaa kwa tahadhari usimpatie namba yako ya simu."
Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya