twawa mwaipaya kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya tunafuatilia tuhuma za kutekwa kwa Twaha Mwaipaya

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Bernard Kibesse amesema wanafuatilia madai ya kutekwa kwa Mtanzania, Twaha Mwaipaya huku vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi nchini humo likilaani tukio la kutoweka kwa mwanaharakati huyo. Mwaipaya aliyewahi kuwa Mratibu wa Hamasa wa Baraza la Vijana la...
Back
Top Bottom