Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa
Maana,
Inashangaza mno, Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.

Kulikoni unafundisha somo la kujikinga na drama ya utekaji, na mara ghafla unatekwa mwenyewe, surely?
Kitaalamu inaitwaje hii?

Je,
ni kwamba mwalimu alikua makini sana kufundisha tu na sio kujilinda na anaodai watekaji?

Na je,
ni kweli ametekwa? Mamlaka ya serikali za eneo lilikotokea tukio hilo zimearifiwa? Na kama zimearifiwa zimetoa taarifa gani mpaka muda huu? Au taarifa za songombingo hiyo zinatolewa mitandaoni tu tena ni kutoka Ubeligiji?

Je,
sio kwamba,
mwalimu wa somo la kujikinga na utekaji anatafuta sababu ya kwenda kuishi uhamishoni baada ya kujitathimini mwenyewe na kuona kwamba kiwango cha uchochezi, uharibifu, na maafa aliyoyasababisha kwenye ardhi ya nchi yake na kwenda kuishi kama digidigi huko anakodai kutekwa, hakivumiliki na hakiwezi kumuacha salama endapo atakanyaga ardhi aliyoitukana kila aina ya tusi, ardhi aliyoinenea kila aina ya uovu kwa niaba ya waliokua wakimtuma?

Ama kwa hakika,
Mkataa kwao ni mtumwa, na jambo usilo lijua ni kama usiku wa kiza, na kwakweli ujuaji mwingine kumbe mbele kiza tu.

Nadhani kutafuta kiki za kijinga kama hizo ndio ujinga wenyewe, right?

Una maoni gani kuhusiana na drama hiyo, ni kweli ama si kweli?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
ukiwasilikiliza huko Maria space waosha vyombo huko ulaya yaani ni kuchochea tu wenzao huku wao wakipiga mashifti ya kazi lakini wanataka sisi tushinde barabarani na kuna majinga yanawasikiliza kabisa
 
wapinzani hawakamata ikulu ndo faida na ndo kinachotakiwa , wasiwe wafanya maauzi ya nchi kwa sababu wengi wao ni vibaraka
Ni kweli ccm ina hatimiliki ya Tanzania.
Ila Kuna ulazma wa kuua ili wapinzani wasiingie ikulu?
 
You better watch your Neck young man
Baba yangu kafa ,mama yangu ,babu yangu kafa bibi yangu kafa.
Mimi nani niishi milele 😀😀😀.
Sema we jamaa ni mashamba sana.hyo kazi unajitambia nayo huku Mimi niliikataa miaka hyo.na connection ilikuwepo.ACHA USHAMBA
 
Baba yangu kafa ,mama yangu ,babu yangu kafa bibi yangu kafa.
Mimi nani niishi milele 😀😀😀.
Sema we jamaa ni mashamba sana.hyo kazi unajitambia nayo huku Mimi niliikataa miaka hyo.na connection ilikuwepo.ACHA USHAMBA
Kazi gani
 
Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa.

Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio mazuri pia

"Watu wengi sana wamekamatwa. Watu wengi sana wametekwa kwa kutumia vifaa vyao wanavyomiliki simu... wakamataji, watekaji na wachoreshaji wanatumia sana mitandao ya simu hususan laini za simu..."

"Mtu huyo huyo akikufuata akisema unafanya kazi nzuri nipatie namba yako ya simu nikupatie pesa ya maji... Brother umeisha? Ishi kwa machale. ipo siku utarelax kwa sasa hivi kaa kwa tahadhari usimpatie namba yako ya simu."
Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya


kwani huyu kijana katekwa na nani?,serikali ya kenya imesema haina taarifa ya mtu kutekwa,hivyo hii itakua ni senema ya maria sarungi kama director na stering akiwa ni Twaha zebedayo mwaipaya
 
Back
Top Bottom